Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Msumbiji ni leo

Nchini Msumbiji kuna fanyika uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na wawakilishi wa majimbo, ambao ni wa kwanza wa kidemokrasia tangu nchi hiyo kujipatia uhuru wake toka kwa Wareno.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UCHAGUZI MSUMBIJI KUFANYIKA LEO

Mabango ya wagombea mbalimbali wanaowania nafasi za uongozi nchini Msumbiji. Msumbiji leo inafanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa kidemokrasia wa rais, wabunge na wawakilishi wa majimbo tangu nchi hiyo kujipatia uhuru wake toka kwa Wareno. Zaidi ya watu milioni 10 wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa leo, ambao unaonekana kuwa wa kwanza kidemokrasia tangu nchi hiyo ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa Wareno mwaka 1975....

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI MSUMBIJI: RENAMO HATUTAMBUI MATOKEO

Kiongozi wa Chama cha kikuu cha upinzani nchini Msumbiji cha RENAMO, Alfonso Dlakama (katikati). Chama cha kikuu cha upinzani nchini Msumbiji cha RENAMO kimetoa yake ya moyoni kuwa hawatayakubali matokeo yajayo ya uraisi na ubunge pamoja na serikali za mitaa. Msemaji wa chama hicho Antonio Muchanga amesema kwamba kumekuwa na ukiukwaji wa taratibu katika upigaji kura huo na udanganyifu wa kura. Matokeo ya awali… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars kutua Msumbiji leo

MSAFARA wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars unatarajiwa kuondoka leo jioni Afrika Kusini kwenda Msumbiji tayari kwa mechi ya keshokutwa kuwania tiketi ya kuingia kundi F, kupigania nafasi...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA MSUMBIJI AWASILI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipokuwa akisalimiana na Mawaziri wa Zanzibar mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA CHUO CHA DIPLOMASIA, AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA KUZUNGUMZA NA RAIA WA MSUMBIJI WAISHIO NCHINI


Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiwajadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia (CFR), Balozi Mwanaidi Maajar huku Mkuu wa Chuo hicho Balozi Mohammed Maundi akisiskiliza wakati viongozi hao wakisubiri kumpokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi alipotembelea Chuoni hapo leo tarehe 18 Mei, 2015 wakati akiendelea na ziara yake ya kitaifa ya siku tatu hapa nchini. Chuo cha Diplomasia kilichopo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA MSUMBIJI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa msumbiji nchini,Dkt. Vicente Mebunia ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2015 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: RAIS WA MSUMBIJI AKIWASILI BUNGENI DODOMA LEO

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi leo amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mkoani Dodoma akisindikizwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

 

11 years ago

Michuzi

AZAM FC yashinda bao 1-0 dhidi ya Ferroviario de Beira ya Msumbiji leo

 Habari na picha  na Mahmoud Zubeiry AZAM FC imepata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Ferroviario de Beira ya Msumbiji katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jioni hii.Shukrani kwake mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Kipre Herman Tchetche (pichani juu) aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 41 baada ya kutengewa pasi nzuri ya kichwa na Mganda Brian Umony na kufumua shuti kali.Mchezo ulikuwa mkali dakika zote 90...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani