Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi wa kihistoria

Zikiwa zimesalia siku 13 kabla ya Uchaguzi Mkuu, baadhi ya wachambuzi wamesema unaonekana utakuwa wa kihistoria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Ni kampeni za kihistoria

KAMA umati wa watu wanaohudhuria mikutano ya kampeni ingekuwa ni kipimo pekee cha ushindi wa Ucha

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Habarileo

Wiki ya kihistoria Dodoma

HISTORIA mpya inaandikwa wiki hii mkoani Dodoma ambako Bunge la 11 la Serikali ya Awamu ya Tano, inayoongozwa na Rais John Magufuli linatarajiwa kuanza vikao vyake kesho.

 

9 years ago

Mwananchi

2015 ni mwaka wa kihistoria

Wakati tunaanza mwaka huu unaomalizika leo, habari iliyobeba uzito wa juu katika gazeti hili ilisomeka “Mwaka wa uchaguzi”, na leo mwaka 2015 unaisha ukiwa umeweka historia baada ya Uchaguzi Mkuu kuweka rekodi nyingi mpya tangu siasa za vyama vingi zianze.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ushindi wa Buhari ni wa kihistoria Nigeria

Ushindi wa Buhari unaadhimisha wakati muhimu katika historia ya Nigeria iliojawa na misukosuko.

 

10 years ago

BBCSwahili

Video:Ziara ya kihistoria ya Obama

Tazama video inayotoa mukhtasari wa ziara ya rais wa Marakani Barack Obama barani Afrika na ushawishi wa taifa lake

 

10 years ago

Mwananchi

Makanisa ya kihistoria Arusha hatarini!

Nilishwahi kuandika mara kadhaa juu ya umuhimu wa majengo kama maandishi yanayoelezea historia ya nchi na jamii na pia kuwaelezea wale walioyoyajenga, na kuelezea athari za kitamaduni zilizofika katika mji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Michoro ya kihistoria kupotea Tanzania?

Michoro ya kwenye miamba iliyo mkoani Dodoma katikati mwa Tanzania, imeelezwa kuwa iwapo haitatunzwa vizuri

 

10 years ago

Michuzi

EID KUBWA YA KIHISTORIA LEICESTER


Wanajumuia wa An Noor Leicester pamoja na ndugu na marafiki kutoka ndani ya mji huo na mingine ya Uingereza kama vile London, Leeds na Coventry Jumamosi tarehe 4 Oktoba walijumuika kusherehea sikukuu ya Eid Ul Adh-ha katika Masjid An Noor, Belgrave Gate.Ilikuwa ni sherehe ya kihistoria, ambayo ilianza kwa Takbeer kisha Sala ya Eid, na kufuatiwa na Khutba iliyotolewa na Imamu Mkuu Sheikh Saleh Juma.Kabla ya waumini kukumbatiana na kupongezana, Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Jumuia ya An Noor...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hili ndilo Bunge tuliloambiwa ni la kihistoria?

IJUMAA ya Aprili 25, mwaka huu, sasa 7:23 nilipokea ujumbe mfupi kupitia simu yangu ya kiganjani ambao ulitoka kwa msomaji wa safu hii. Ujumbe huo ulisomeka hivi: “Afadhali wamemaliza Bunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani