Makanisa ya kihistoria Arusha hatarini!
Nilishwahi kuandika mara kadhaa juu ya umuhimu wa majengo kama maandishi yanayoelezea historia ya nchi na jamii na pia kuwaelezea wale walioyoyajenga, na kuelezea athari za kitamaduni zilizofika katika mji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Aug
‘Wanawake sasa hatarini Arusha’
10 years ago
BBCSwahili15 Mar
Milipuko yalenga makanisa Pakistan
11 years ago
Habarileo10 Aug
Makanisa yaaswa kuombea amani
MAKANISA nchini yametakiwa kuendeleza amani iliyopo kwa kufanya maombi ya kuliombea Taifa ,ili amani iliyopo isivurugwe na baadhi ya watu wachache wasioitakia mema nchi hii.
11 years ago
Mtanzania28 Jul
Waziri atangaza kufuta makanisa
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe
Na Gloria Tesha
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema atayafuta makanisa yote nchini ambayo yamekuwa yakitawaliwa na vurugu mara kwa mara.
Amesema pamoja na makanisa hayo kusajiliwa kwa ajili ya kumtumikia Mwenyezi Mungu, baadhi yamekuwa yakimtia aibu Mwenyezi Mungu, wanayemtumikia.
Chikawe aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza wakati wa maombi ya kuliombea taifa yaliyoandaliwa na Chama cha Kitume cha Karismatiki Katoliki,...
10 years ago
Mwananchi30 Aug
JK, Ukawa leo, makanisa yaonya
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Kenya kudhibiti mienendo ya makanisa
11 years ago
Habarileo11 May
Serikali yakerwa uchomaji makanisa
SERIKALI imetoa tamko juu ya mfululizo wa vitendo vya uchomaji makanisa vilivyoibuka hivi karibuni na kusema imeagiza dola ikaze uzi kukabili wimbi hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema jana bungeni wakati akihitimisha michango ya wabunge kuhusu bajeti ya mwaka wa fedha 2014/15 ya ofisi yake iliyopitishwa jana.
9 years ago
BBCSwahili23 Sep
Makanisa matatu yateketezwa Tanzania
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Idadi ya makanisa kudhibitiwa Burundi