Kenya kudhibiti mienendo ya makanisa
Serikali ya Kenya yasimamisha usajili wa mashirika ya kidini ili kuthibiti mienendo ya mashirika hayo hatua iliyowakera baadhi ya viongozi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog24 Apr
UGANDA YATAZAMIA KUDHIBITI CORONA KWA KUWAZUIA MADEREVA WA MALORI WA TANZANIA NA KENYA

5 years ago
MichuziWAZAZI WANAPASWA KUFUATILIA MIENENDO YA WATOTO WAO WALIO CHINI YA MIAKA MITANO KUEPUSHA HATARI INAYOWEZA KUWAKABILI.
Daktari wa watoto katika Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Lucy Mpayo amesema kuwa, ulinzi wa watoto walio chini ya miaka mitano unaanzia kwa mzazi/ mlezi na jamii kwa ujumla.
Dk. Lucy amesema kuwa, watoto hao wanapaswa kuangaliwa kwa ukaribu kwa sababu uwezo wao wa kujilinda bado ni mdogo na kwamba hawawezi kupambana na hatari yoyote inayojitokeza dhidi yao.
Amesema kuwa, kutokana na hali hiyo, wazazi,walezi na jamii kwa ujumla wanapaswa kuwalinda watoto hao hali ambayo...
5 years ago
BBCSwahili24 Apr
Virusi vya Corona: Uganda yatazamia kudhibiti corona kwa kuwazuia madereva wa Kenya, Tanzania
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Makanisa matatu yateketezwa Tanzania
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Idadi ya makanisa kudhibitiwa Burundi
11 years ago
Mwananchi30 Aug
JK, Ukawa leo, makanisa yaonya
11 years ago
Habarileo11 May
Serikali yakerwa uchomaji makanisa
SERIKALI imetoa tamko juu ya mfululizo wa vitendo vya uchomaji makanisa vilivyoibuka hivi karibuni na kusema imeagiza dola ikaze uzi kukabili wimbi hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema jana bungeni wakati akihitimisha michango ya wabunge kuhusu bajeti ya mwaka wa fedha 2014/15 ya ofisi yake iliyopitishwa jana.
11 years ago
Habarileo10 Aug
Makanisa yaaswa kuombea amani
MAKANISA nchini yametakiwa kuendeleza amani iliyopo kwa kufanya maombi ya kuliombea Taifa ,ili amani iliyopo isivurugwe na baadhi ya watu wachache wasioitakia mema nchi hii.
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Makanisa ya kihistoria Arusha hatarini!