Waziri atangaza kufuta makanisa
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe
Na Gloria Tesha
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema atayafuta makanisa yote nchini ambayo yamekuwa yakitawaliwa na vurugu mara kwa mara.
Amesema pamoja na makanisa hayo kusajiliwa kwa ajili ya kumtumikia Mwenyezi Mungu, baadhi yamekuwa yakimtia aibu Mwenyezi Mungu, wanayemtumikia.
Chikawe aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza wakati wa maombi ya kuliombea taifa yaliyoandaliwa na Chama cha Kitume cha Karismatiki Katoliki,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 Jul
Waziri kufuta makanisa yanayoendekeza vurugu
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema yeye mwenyewe atayafuta makanisa yote yanayoleta vurugu na uvunjifu wa amani kwa kuwa hayatoi taswira ya kile wanachopaswa kufanya na ni aibu kwa Mungu wanayemtumikia.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-gG0IU87vSnI/U9V1Y_cJkMI/AAAAAAAF7Ik/JjZdrBSNhR4/s72-c/unnamed+(7).jpg)
WAZIRI CHIKAWE KUFUTA USAJILI WA MAKANISA YENYE MIGOGORO KWA LENGO LA KUEPUSHA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-gG0IU87vSnI/U9V1Y_cJkMI/AAAAAAAF7Ik/JjZdrBSNhR4/s1600/unnamed+(7).jpg)
9 years ago
StarTV24 Dec
Mkuu wa mkoa atangaza kufuta maadhimisho ya miaka 50 ya mkoa wa singida
Mkoa wa Singida umefuta sherehe za maadhimsho ya miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwake badala yake kiasi cha shilingi milioni 60.6 zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya siku hiyo zitatumika kwa ununuzi wa vifaa tiba katika Hospitali yake ya Rufaa inayoendelea kujengwa.
Lengo la hatua hiyo ni kuunga mkono hatua ya Rais John Magufuli kupunguza sherehe zisizo za lazima na fedha hizo kuelekezwa kwenye shughuli nyingine zenye umuhimu na manufaa zaidi kwa jamii.
Baada ya Serikali kufuta...
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Uhuru Kenyatta: Rais wa Kenya akataa kufuta uwezekano wa kuwa Waziri Mkuu
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Waziri atangaza vita na wauza nyama, machinjio
10 years ago
Michuzi26 Oct
WAZIRI CHIKAWE ATANGAZA KUTETEA JIMBO LAKE
![PIX 1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/PIX-15.jpg)
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe ametangaza rasmi kuwa atagombea tena katika nafasi ya ubunge kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu ujao na kulitetea jimbo lake. Alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza na wananchi pamoja na viongozi wa CCM wa Wilaya na Kata ya Mtua, wilayani Nachingwea katika sherehe ya kuwapokea viongozi na wanachama wapya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliojiunga na...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2sXp_yJPwzs/VND9J6SF2iI/AAAAAAAHBU8/tEXh-fj1AHY/s72-c/unnamed.jpg)
Waziri Lukuvi atangaza mapambano dhidi ya wanaodhulumu ardhi
![](http://3.bp.blogspot.com/-2sXp_yJPwzs/VND9J6SF2iI/AAAAAAAHBU8/tEXh-fj1AHY/s1600/unnamed.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-b7nLEnWBAeQ/VND9IFp1OWI/AAAAAAAHBUk/Py3uH4QkkC4/s1600/unnamed%2B(45).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bnsPL1b2pFs/VND9ID5_y8I/AAAAAAAHBUs/A6BKc0Ntg_I/s1600/unnamed%2B(46).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-9m_vW_D7Z3o/VND9IVpPgeI/AAAAAAAHBUo/aK4DEbftzM0/s1600/unnamed%2B(47).jpg)
Hussein Makame-MAELEZO,Dodoma
WAZIRI wa...
9 years ago
Michuzi23 Dec
WAZIRI KITWANGA ATANGAZA OPERESHENI YA KUKAMATA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/uh1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Waziri Membe atangaza nia ya kugombea urais — Lindi leo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania leo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe na mkewe Dorcas wakilakiwa na wana CCM na wakazi wa Lindi alipowasili katika...