Waziri kufuta makanisa yanayoendekeza vurugu
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema yeye mwenyewe atayafuta makanisa yote yanayoleta vurugu na uvunjifu wa amani kwa kuwa hayatoi taswira ya kile wanachopaswa kufanya na ni aibu kwa Mungu wanayemtumikia.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania28 Jul
Waziri atangaza kufuta makanisa
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe
Na Gloria Tesha
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema atayafuta makanisa yote nchini ambayo yamekuwa yakitawaliwa na vurugu mara kwa mara.
Amesema pamoja na makanisa hayo kusajiliwa kwa ajili ya kumtumikia Mwenyezi Mungu, baadhi yamekuwa yakimtia aibu Mwenyezi Mungu, wanayemtumikia.
Chikawe aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza wakati wa maombi ya kuliombea taifa yaliyoandaliwa na Chama cha Kitume cha Karismatiki Katoliki,...
11 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE KUFUTA USAJILI WA MAKANISA YENYE MIGOGORO KWA LENGO LA KUEPUSHA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Uhuru Kenyatta: Rais wa Kenya akataa kufuta uwezekano wa kuwa Waziri Mkuu
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Waziri wa Magufuli anusuru vurugu
Jonas Mushi na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye jana alinusuru kuvunjika kwa mdahalo ulioandaliwa na Jumuiya ya Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO), baada ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuupinga.
Mdahalo huo ulilenga kujadili hotuba ya Rais Dk. John Magufuli aliyosoma bungeni Novemba 20, mwaka huu wakati akizindua Bunge la 11.
Dosari hiyo ilijitokeza mapema kabla ya Nape kuwasili katika ukumbi wa Nkurumah baadaya Rais wa...
10 years ago
GPLVURUGU ZA AFRIKA KUSINI, WAZIRI MEMBE ATOA TAMKO
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WAKUPAMBANA NA VURUGU NA UGAIDI, WASHINGTON MAREKANI
10 years ago
BBCSwahili15 Mar
Milipuko yalenga makanisa Pakistan
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Makanisa ya kihistoria Arusha hatarini!
9 years ago
BBCSwahili23 Sep
Makanisa matatu yateketezwa Tanzania