UCHAGUZI WA RAIS NA WABUNGE BURUNDI WAAHIRISHWA
![](http://api.ning.com:80/files/U4nVIpmxyNN5QuorR9X2vXxdCZIjp3QziBjuoXVC6qkvj3XeAx1SJHNrvh6SFdaB4JkzhD*0EEt7OJ4aszTDwiGz4bkMaOp3/PIERRENKURUNZIZA.jpg?width=650)
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. SERIKALI ya Burundi imetangaza kuwa uchaguzi wa Rais na Wabunge uliotarajiwa kufanyika mwezi huu umeahirishwa mpaka tarehe nyingine zitakazotangazwa. Vurugu Burundi. Msemaji wa Rais Nkurunziza, Wily Nyamitwe amesema kuwa tarehe hizo zitapangwa na wasimamizi wa uchaguzi wa nchi hiyo hivi karibuni. Mabadiliko hayo yamekuja kutokana na taifa hilo kuingia kwenye machafuko tangu Rais Piere...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W-BK82a1GssekkiJCGbuzvIL33L572e1fX4XhVxonLsEaYUTpMGm4JotpDA63N9s*urRhfAr0UXZTlq8yJ4tSB*wEQKIrzhZ/150629114355_burundi_elections_512x288_.jpg)
UCHAGUZI WA BURUNDI WAAHIRISHWA TENA
10 years ago
BBCSwahili11 Jul
Burundi:Uchaguzi waahirishwa tena
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yIRAODsxTEyWK0Rm8edDuzTYkexiDvdilltB2NbWK76Dm6w0dd69ksdBbFg-GT2dQotdBoUvTQXtJ-Yanh6vdzTnOHARN7lZ/NKURUNZIZA.jpg?width=650)
RAIS PIERRE NKURUNZIZA ASOGEZA MBELE UCHAGUZI WA WABUNGE BURUNDI
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Burundi yaahirisha uchaguzi wa wabunge
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhx-63bU4CR*mV7yJ*8ilZZrXveouCui79hD5hP0UAe2PYNEJJaevj3vKn7yY05o0OPWeg5BpCFu5-WzfXmp5VXG/burundielection.jpg)
UCHAGUZI WA WABUNGE WAFANYIKA BURUNDI LICHA YA UPINZANI KUSUSA
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-ac5AYlNgM9o/VjDrVxtvHBI/AAAAAAABYOI/rRKDALR-qxA/s72-c/1.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-leNsOApSo34/Xs6ATZt58OI/AAAAAAALrwY/UdM8rUE55fQ3exquGR-b0nvCcEERGT0pACLcBGAsYHQ/s72-c/1-26-2048x1365.jpg)
Tume ya Uchaguzi imekutana na vyama vya siasa kujadili na kupitisha kanuni na maadili kwa uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-leNsOApSo34/Xs6ATZt58OI/AAAAAAALrwY/UdM8rUE55fQ3exquGR-b0nvCcEERGT0pACLcBGAsYHQ/s640/1-26-2048x1365.jpg)
Semistocles Kaijage, akizungumza katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/2-19-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/2B-scaled.jpg)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, akifafanua hoja zilizotolewa na Washiriki wa Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na...
9 years ago
Habarileo27 Oct
Uchaguzi Kwela waahirishwa
UCHAGUZI wa ubunge katika Jimbo la Kwela wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa umeahirishwa kutokana na wananchi wa kata ya Milepa jimboni humo kushindwa kupiga kura baada ya vifaa vyote vya kupigia kura kuteketezwa kwa moto.
5 years ago
BBCSwahili06 May
Uchaguzi wa Burundi 2020: Vurugu na mauaji yakumba kampeini za uchaguzi Burundi