UCHAWI WA ‘SHUKURANI’ KATIKA MAPENZ I- 6
![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*JZOH6ZhbhnL8ic0gncNBwsKTC16ZHvSYk48X*VcX4xOpVplJpeWpJ34mHEnZyd7utToI-XOhw74X1DQtN-eHq/mahaba.jpg)
WIKI iliyopita ulisoma pale Mama Shebby akimaliza kumsimulia mfanyakazi wa saluni anayeitwa Sabrina, mkasa wake wa kujidhalilisha kwa kwenda kutoka nje ya ndoa. Alikiri kuwa Shetani alimuongoza na kumtawala kichwani mpaka akafanya kitendo kibaya ambacho kinamuumiza sana. Mama Shebby anakiri kwamba amemdhalilisha sana mumewe japo mwenyewe hajagundua kama mkewe alishatoka nje ya ndoa. Kinachomuuma ni kuwa alikubali kuutoa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi0x*kpd32138ecq5ZyepB3SWYB6nZvGinQyt0E3K4EamJkk9tpHMGwsamGDlk6hpBQr869ygncekwQoz*QkbQh4/mahaba.jpg)
UCHAWI WA ‘SHUKURANI’ KATIKA MAPENZI-6
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOZ457RcK407aAXM50mw9ihdR56PmO88AMFYBO-5QiSd12FxsikzBguA1TCfF532pz9ogfvc8nI3HzGfbxJkfwbm/mahaba.jpg?width=650)
UCHAWI WA ‘SHUKURANI’ KATIKA MAPENZI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LAl787uzrCDtQJPIXcrWTIYPUUpnu2ULeH2kstFf3hYbuf55dMIgXDqCvLuzCdyDIu37i4tpU-B6L1xflFPdUFpQeev1yTlt/MAHABA.jpg)
UCHAWI WA ‘SHUKURANI’ KATIKA MAPENZI-3
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*qJSNUBis2xfVTu*Ju5dfbsOorLjSXaXu0HM8li9jR6NhQXQeYeQEY5sUWpYCnt8Kdmt9N2G-Svy62Ja1w6ZNBE/mahaba.jpg)
UCHAWI WA ‘SHUKURANI’ KATIKA MAPENZI-4
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKPT2NHufWUAgVUG6G1H7qTJpq52sxANryc5SMYEE5uInsYXKzN3GmlG*r9cpEOq7JoUICU5ltgihsoJlKEQzY78/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
UCHAWI! UCHAWI! HAKIMU AFIA MAHAKAMANI
10 years ago
Bongo Movies08 Dec
KOLETA: Uchawi Umetawala Katika Filamu
Msanii wa filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka kuwa, tasnia ya filamu imetawaliwa na uchawi na kusisitiza kuwa itakuwa vigumu kwa baadhi ya wasanii kung’ara katika kazi hiyo.
Koleta alisema kwa sababu uchawi hauna ushahidi si rahisi kutamka hadharani lakini yeye anathubutu kusema ukweli kuhusu jambo hilo.
“Wengi wanaogopa kusutwa lakini lisemwalo lipo na kama halipo laja, suala la uchawi katika tasnia ya filamu lipo wala watu wasikatae, unakuta msanii anajua kuigiza...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d5BYpv9q1OsoG9BfGbjompe6qmyqQqqnzcNqwGuG7DazUx1IYILSVTE0Z-BlezfERajBwpOXP5MKZEanpDIZHn3/mahaba.jpg)
UCHAWI WA ‘SHUKRANI’ KATIKA MAPENZI-5
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-uBk0ucRwM6s/VLxHl68lPpI/AAAAAAADWFY/Lr1IwFNfIAo/s72-c/Planets.jpg)
UCHAWI:1 NINI MAANA YA UCHAWI?
![](http://1.bp.blogspot.com/-uBk0ucRwM6s/VLxHl68lPpI/AAAAAAADWFY/Lr1IwFNfIAo/s1600/Planets.jpg)
Al Azhari ambaye nimtungaji wa kamusimaarafu ya kiarabu iitwayo“LisanulArab” amesema:“Neno “Uchawi”, kwakiarabu “As Sihr”, maanayake ni kitendo chakujikurubisha na shetani nakwa msaada wake(shetani)”, na akasema piakuwa; “Uchawi nikulibadilisha jambo mbali nauhakika wake, nako nikuwadhihirishia watu jambolisilo la kweli wakalionakuwa ni la kweli.”Ama Sahaba Ibni Abbas(Radhiya Llaahu ‘anhu)amesema:"Uchawi ni kuidhirisha batilikatika sura ya haki."Hayo ni katika kamusi zalugha.Amma katika...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-O44HNL2oUwM/U1ggO5r8qkI/AAAAAAAFclA/LK_ZlgPRx8w/s72-c/IMG-20140307-WA0000.jpg)
SHUKURANI NA MWALIKO KATIKA IBADA YA MISA TAKATIFU KWA AJILI YA MAREHEMU LEEFORD C. CENGE SIMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-O44HNL2oUwM/U1ggO5r8qkI/AAAAAAAFclA/LK_ZlgPRx8w/s1600/IMG-20140307-WA0000.jpg)
Kwa heshima kubwa tunatoa shukrani za dhati kwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mohamed Gharib Bilal Makamu wa...