Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAWI WA ‘SHUKURANI’ KATIKA MAPENZI-3

NI somo kuhusu uchawi wa shukurani katika mapenzi. Tuendelee kutoka pale tulipoishia wiki iliyopita kwa mfano wa Mama Shebby, jinsi alivyokosa shukurani kwa mumewe, akamshusha thamani na kwenda kutembea na mwanaume nje ya ndoa lakini baadaye ndiyo anagundua mumewe ni bora sana. Hapa Mama Shebby anamsimulia dada wa saluni anayeitwa Sabrina, mazungumzo ni kama ifuatavyo;
Mama Shebby akaanza: “Sabrina wewe ni mdogo, bado...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UCHAWI WA ‘SHUKURANI’ KATIKA MAPENZI-4

Wiki iliyopita niliishia pale mama Shebby akiwa nyumbani kwake saa 3:24 aliposhika simu yake akakuta SMS mbili zilizotoka kwa Pascal waliyekutana supermarket, akamnunulia deodorat  mbili. Moja ya SMS hiyo ilimuuliza kama alilala na ya mwisho alimfahamisha deodorat aliyomchangulia mkewe aliipenda. Unajua kiliendelea nini? Ungana nami... “Haraka sana nilimjibu kwa kumwandikia SMS mbili, ya kwanza nilimjulisha sijalala,...

 

11 years ago

GPL

UCHAWI WA ‘SHUKURANI’ KATIKA MAPENZI-6

“Mwanzoni alionekana anaweza kumuandaa mwanamke, yaani kipengele cha ‘romansi’ kama anakijua hivi!  Alianza vizuri lakini kabla hajanikoleza ili na mimi nimpokee tuweze kupeana kitu ambacho naamini kila mmoja wetu pale alitamani na ndicho alistahili, nilishangaa anakatisha njia ya mkato na kupanda tutani. “Tuta lenyewe hakujua njia sahihi kuchimba viazi. Akawa ananipalasapalasa tu, alipojitosheleza...

 

11 years ago

GPL

UCHAWI WA ‘SHUKURANI’ KATIKA MAPENZI

KATIKA mapenzi, hili neno halitakiwi kuishia mdomoni, lazima liishi ndani ya nyoyo za wapendanao. Hapo ndipo unaweza kuona maana yake. Linarahisha suluhu pale wahusika wanapotofautiana, kadhalika ni chachu ya kuepusha shari, hapohapo ni grisi inayolainisha moyo na kukuza uvumilivu. Shukurani ni zaidi ya kumwambia mwenzi wako ‘asante’ pale anapokufanyia kilicho bora au kukununulia zawadi. Yafanye maisha yako yawe ya...

 

11 years ago

GPL

UCHAWI WA ‘SHUKURANI’ KATIKA MAPENZ I- 6

WIKI iliyopita ulisoma pale Mama Shebby akimaliza kumsimulia mfanyakazi wa saluni anayeitwa Sabrina, mkasa wake wa kujidhalilisha kwa kwenda kutoka nje ya ndoa. Alikiri kuwa Shetani alimuongoza na kumtawala kichwani  mpaka akafanya kitendo kibaya ambacho kinamuumiza sana. Mama Shebby anakiri kwamba amemdhalilisha sana mumewe japo mwenyewe hajagundua kama mkewe alishatoka nje ya ndoa. Kinachomuuma ni kuwa alikubali kuutoa...

 

11 years ago

GPL

UCHAWI WA ‘SHUKRANI’ KATIKA MAPENZI-5

MAMA Shebby anakutana na mwanaume anayeitwa Pascal na kumuona ni bora kuliko mumewe, anasimulia: “Pascal aliniandikia SMS akizidi kumsifia mume wangu kwamba ananijali, akasema wanaume wengi hawawapi wake zao magari. Sijui kwa nini maneno hayo hayakunizindua na kunifanya niheshimu mchango wa mume wangu katika maisha yangu.“Katika nyakati ambazo huwa nakiri kuwa Shetani ana nguvu sana ni hapa, kwani niliendelea...

 

11 years ago

GPL

MAUAJI WATU 16 MARA: MAPENZI, UCHAWI, VISASI VYATAJWA

Stori: Makongoro Oging’ na Igenga Mtatiro
WAKATI hofu kubwa ikiwa imetanda miongoni mwa wananchi wa Wilaya za Butiama na Tarime mkoani Mara kutokana na mauaji ya watu zaidi ya 16, imebainika kwamba sababu za vifo hivyo zimejikita katika wivu wa kimapenzi, vitendo vya ulipizaji visasa na imani za kishirikina. Marehemu Juma Marwa Nyaitara. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo mbalimbali mkoani humo, mauaji hayo, hasa...

 

10 years ago

GPL

UCHAWI! UCHAWI! HAKIMU AFIA MAHAKAMANI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HAYA ndiyo majanga! Hali ya hewa ilibadilika ghafla katika Mahakama ya Mwanzo Ukonga, Dar kufuatia Mheshimiwa Hakimu Rogart Venance Alphonce (54) kuugua ghafla, kudondoka na kutokwa povu mdomoni na puani, hatimaye kufariki dunia! Inauma sana! Marehemu Hakimu Rogart Venance Alphonce enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha na lililoibua vilio kwa watumishi wa mahakama hiyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

KOLETA: Uchawi Umetawala Katika Filamu

Msanii wa filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka kuwa, tasnia ya filamu imetawaliwa na uchawi na kusisitiza kuwa itakuwa vigumu kwa baadhi ya wasanii kung’ara katika kazi hiyo.

Koleta alisema kwa sababu uchawi hauna ushahidi si rahisi kutamka hadharani lakini yeye anathubutu kusema ukweli kuhusu jambo hilo.

“Wengi wanaogopa kusutwa lakini lisemwalo lipo na kama halipo laja, suala la uchawi katika tasnia ya filamu lipo wala watu wasikatae, unakuta msanii anajua kuigiza...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAWI:1 NINI MAANA YA UCHAWI?


Al Azhari ambaye nimtungaji wa kamusimaarafu ya kiarabu iitwayo“LisanulArab” amesema:“Neno “Uchawi”, kwakiarabu “As Sihr”, maanayake ni kitendo chakujikurubisha na shetani nakwa msaada wake(shetani)”, na akasema piakuwa; “Uchawi nikulibadilisha jambo mbali nauhakika wake, nako nikuwadhihirishia watu jambolisilo la kweli wakalionakuwa ni la kweli.”Ama Sahaba Ibni Abbas(Radhiya Llaahu ‘anhu)amesema:"Uchawi ni kuidhirisha batilikatika sura ya haki."Hayo ni katika kamusi zalugha.Amma katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani