Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchumi yafunga maduka yake TZ na UG

Maduka ya jumla ya Uchumi yametangaza kufungwa kwa oparesheni zake nchini Tanzania na Uganda katika zoezi la kubana matumizi .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

UCHUMI YAFUNGA MADUKA YAKE TANZANIA NA UGANDA

Uchumi Supermarket Makumbusho.  MADUKA ya jumla ya Uchumi yametangaza kufungwa kwa oparesheni zake nchini Tanzania na Uganda katika zoezi la kubana matumizi . Mkurugenzi mkuu wa maduka hayo Dr.Julius Kipng'etich amesema kuwa bodi yake imeamua kufunga vituo hivyo kwa lengo la kutathmini muundo wa oparesheni zake nchini Kenya. ''Maduka yetu nchini Tanzania na Uganda yanajumlisha asilimia 4.75 ya oparesheni zetu licha ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Maduka ya Uchumi Supermarket yafungwa Tanzania, Uganda

Uongozi wa Uchumi Supermarket umetangaza  kufunga shughuli zake katika maduka yake yaliyopo Tanzania na Uganda ili kutoa nafasi ya kuzuia mtikisiko wa kifedha unaoikumba kampuni hiyo.

 

9 years ago

Vijimambo

MADUKA YA UCHUMI SUPERMARKET YAFUNGWA NCHINI TANZANIA NA UGANDA



Uongozi wa Uchumi Supermarket umetangaza kufunga shughuli zake katika maduka yake yaliyopo Tanzania na Uganda ili kutoa nafasi ya kuzuia mtikisiko wa kifedha unaoikumba kampuni hiyo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Dk Julius Kipng'etich, amesema Bodi imeamua kufunga vitengo vya kikanda ili kuimarisha shughuli zake nchini Kenya baada ya kupata hasara katika maduka yake ya Uganda na Tanzania."Maduka yetu ya Uganda na Tanzania huchangia asilimia 25 tu ya gharama za uendeshaji. Matawi hayo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uturuki yafunga baadhi ya mipaka yake

Uturuki imefunga baadhi ya mipaka yake na nchi ya Syria kuhofia idadi kubwa ya jamii ya kikurdi kutoka Syria

 

10 years ago

BBCSwahili

Africa kusini yafunga Mipaka yake

Nchi ya Africa Kusini inafunga mipaka yake kwa wasafiri kutoka katika nchi za Liberia,Guine na Sierra Leone.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ukraine yafunga anga yake kwa Urusi

Ukraine imefunga anga yake kwa ndege zote za Urusi kufuatia mzozo kuhusu kukatizwa kwa kawi ya jimbo la Crimea

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yafunga mauzo ya dhamana yake kwa mafanikio makubwa.

Benki ya Exim Tanzania imetangaza kufunga mauzo ya dhamana yake ya muda mrefu (hati fungani) huku ikibainisha kuwa kiasi kilichopatikana kutokana na mauzo ya hati hizo kimezidi mara dufu (asilimia 195) ya malengo ya awali.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana, uuzwaji wa dhamana hizo ulifungwa rasmi Disemba 18 mwaka huu huku benki hiyo ikifanikiwa kukusanya kiasi cha sh bilioni 19.7 kutokana na mauzo ya dhamana hiyo tofauti na makadilio ya sh. bilioni 10...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yafunga mipaka yake Tanzania na Somalia kwa siku 30

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kufungwa kwa mipaka ya nchi yake kwa kipindi cha muda wa siku 30

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAFUNGA SHULE ZA AWALI HADI KIDATO CHA SITA KWA SIKU 30 KUIHAMI NCHI NA CORONA, YAFUNGA PIA MIKUSANYIKO YA SIASA NA MICHEZO



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu hatua za awali zilizochukuliwa na Serikali kutokana na kuwepo nchini virusi vya ugonjwa wa Corona. 





DAR ES SALAAM, Tanzania
Serikali imezifunga shule za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 na pia kuzuia mikusanyiko yoyote ikiwemo ya siasa na michezo ili kuihami nchi na ugonjwa wa Corona ambao umethibishwa kuingia nchini kufuatia kupatikana kwa mgonjwa mmoja wa ugonjwa huo hapa nchini.

Hatua hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani