UCHUMI YAFUNGA MADUKA YAKE TANZANIA NA UGANDA
![](http://api.ning.com:80/files/HfIXzVrPfI07a0mvALdtJcyMVoyDVMZVuylrG9wbkRCZ1j8MFZecSCTOUirT5KNSqmuNF7myTCVqztj*-fCLUotaF27OJJ8j/uchumi2.jpg)
Uchumi Supermarket Makumbusho. MADUKA ya jumla ya Uchumi yametangaza kufungwa kwa oparesheni zake nchini Tanzania na Uganda katika zoezi la kubana matumizi . Mkurugenzi mkuu wa maduka hayo Dr.Julius Kipng'etich amesema kuwa bodi yake imeamua kufunga vituo hivyo kwa lengo la kutathmini muundo wa oparesheni zake nchini Kenya. ''Maduka yetu nchini Tanzania na Uganda yanajumlisha asilimia 4.75 ya oparesheni zetu licha ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Uchumi yafunga maduka yake TZ na UG
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Maduka ya Uchumi Supermarket yafungwa Tanzania, Uganda
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-jBeiKcj1u2Y/Vh561LfAHMI/AAAAAAABXTs/aRws1LDfuUg/s72-c/front%2Bsegerea.jpg)
MADUKA YA UCHUMI SUPERMARKET YAFUNGWA NCHINI TANZANIA NA UGANDA
![](http://2.bp.blogspot.com/-jBeiKcj1u2Y/Vh561LfAHMI/AAAAAAABXTs/aRws1LDfuUg/s640/front%2Bsegerea.jpg)
Uongozi wa Uchumi Supermarket umetangaza kufunga shughuli zake katika maduka yake yaliyopo Tanzania na Uganda ili kutoa nafasi ya kuzuia mtikisiko wa kifedha unaoikumba kampuni hiyo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Dk Julius Kipng'etich, amesema Bodi imeamua kufunga vitengo vya kikanda ili kuimarisha shughuli zake nchini Kenya baada ya kupata hasara katika maduka yake ya Uganda na Tanzania."Maduka yetu ya Uganda na Tanzania huchangia asilimia 25 tu ya gharama za uendeshaji. Matawi hayo...
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Ujumbe wa Tanzania wakutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi kujadili uchumi wa Tanzania
Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu...
9 years ago
TheCitizen21 Oct
Why Uchumi exits Tanzania, Uganda
5 years ago
BBCSwahili16 May
Virusi vya corona: Kenya yafunga mipaka yake Tanzania na Somalia kwa siku 30
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
Africa kusini yafunga Mipaka yake
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Uturuki yafunga baadhi ya mipaka yake
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Ukraine yafunga anga yake kwa Urusi