Uturuki yafunga baadhi ya mipaka yake
Uturuki imefunga baadhi ya mipaka yake na nchi ya Syria kuhofia idadi kubwa ya jamii ya kikurdi kutoka Syria
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
Africa kusini yafunga Mipaka yake
Nchi ya Africa Kusini inafunga mipaka yake kwa wasafiri kutoka katika nchi za Liberia,Guine na Sierra Leone.
5 years ago
BBCSwahili16 May
Virusi vya corona: Kenya yafunga mipaka yake Tanzania na Somalia kwa siku 30
Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kufungwa kwa mipaka ya nchi yake kwa kipindi cha muda wa siku 30
5 years ago
BBCSwahili15 Mar
Coronavirus: Mahakama Kenya yafunga baadhi ya shughuli zake
Sekta ya mahakama nchini Kenya imechukua hatua ya kufunga baadhi ya shughuli zake kufuatia taarifa ya kupatikana na mtu wa Kwanza mwenye virusi vya corona nchini humo.
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Uchumi yafunga maduka yake TZ na UG
Maduka ya jumla ya Uchumi yametangaza kufungwa kwa oparesheni zake nchini Tanzania na Uganda katika zoezi la kubana matumizi .
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Ukraine yafunga anga yake kwa Urusi
Ukraine imefunga anga yake kwa ndege zote za Urusi kufuatia mzozo kuhusu kukatizwa kwa kawi ya jimbo la Crimea
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HfIXzVrPfI07a0mvALdtJcyMVoyDVMZVuylrG9wbkRCZ1j8MFZecSCTOUirT5KNSqmuNF7myTCVqztj*-fCLUotaF27OJJ8j/uchumi2.jpg)
UCHUMI YAFUNGA MADUKA YAKE TANZANIA NA UGANDA
Uchumi Supermarket Makumbusho. MADUKA ya jumla ya Uchumi yametangaza kufungwa kwa oparesheni zake nchini Tanzania na Uganda katika zoezi la kubana matumizi . Mkurugenzi mkuu wa maduka hayo Dr.Julius Kipng'etich amesema kuwa bodi yake imeamua kufunga vituo hivyo kwa lengo la kutathmini muundo wa oparesheni zake nchini Kenya. ''Maduka yetu nchini Tanzania na Uganda yanajumlisha asilimia 4.75 ya oparesheni zetu licha ya...
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Ofisi ya Msajili iheshimu mipaka yake
Tumesikitishwa na mgogoro kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kiasi cha viongozi wake kudai ofisi hiyo inatumiwa na wasaliti wa chama hicho kutaka kukivuruga.
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Bunge Maalumu la Katiba liheshimu mipaka yake
>Wakati Bunge Maalumu la Katiba likitarajiwa kuanza kikao chake Jumanne ijayo mjini Dodoma kujadili na hatimaye kupitisha Rasimu ya Katiba Mpya, Jaji Joseph Warioba ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoandaa Rasimu hiyo ametoa angalizo muhimu kwa Bunge hilo kuzingatia kanuni na hadidu za rejea katika kutimiza majukumu yake
10 years ago
BBCSwahili21 Feb
Ebola:Liberia sasa kufungua mipaka yake
Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf anasema kuwa mipaka ya nchi yake itafunguliwa kesho Jumapili baada ya kufungwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania