Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchunguzi wa moyo kuanza leo Dar

UCHUNGUZI wa maradhi ya moyo bure unaanza jijini Dar es Salaam leo ambako watoto 100 watakaobainika kuwa na maradhi hayo watapelekwa nchini India kwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE YAZINDULIWA LEO DAR ES SALAAM

Waziri wa Afya Dokta Seif Rashid Na: Neema  Mwangomo, MHN                                              04  Sept  2015  Rais JAKAYA  KIKWETE leo amezindua Taasisi ya Moyo ambayo itajulikana kwa jina la  Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ( The Jakaya  Kikwete Cardiac Institute ) ambayo itatoa mafunzo ya Ubingwa wa juu katika fani ya Upasuaji wa Moyo , Usingizi na Tiba ya Moyo kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili( MUHAS).
            Akizindua Taasisi hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchunguzi operesheni ya ujangili kuanza

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya pili ya ziara yake katika Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni hiyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Hospitali ya Apollo kuendesha kambi ya uchunguzi kwa ajili ya wagonjwa wa Moyo na mfumo wa fahamu Tanzania

Apollo-Bangalore-swa

Mwezi  Machi sekta ya afya nchini Tanzania imepokea wataalam kutoka nchi  mbalimbali duniani kwa ajili ya kutoa huduma za vipimo, ushauri na matibabu kwa watanzania. Ujio huu umeleta faida kubwa kwa wagonjwa na wataalamu nchini. Miongoni mwa waliotembelea ni timu ya Madaktari bingwa  kutoka Israel na Hospitali za Apollo zilizopo nchini India. Ziara hizi za mwishoni mwa mwezi March zilitanguliwa na ziara ya madaktari wawill kutoka hospitali ya Apollo ya bangarole mwanzoni mwa mwaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchunguzi kifo cha Monson kuanza Mombasa

Uchunguzi kuhusu kiini cha kifo cha Mwingereza Alexander Monson unatarajiwa kuanza Jumatatu Mombasa,Kenya.

 

9 years ago

StarTV

Tanzania kuanza uchunguzi wa upotevu wa sh. bilioni 13dhidi ya Stanbic

Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza uchunguzi dhidi ya Benki ya Stanbic ya Tanzania na wahusika wa kashfa ya upotevu wa zaidi ya shilingi Bilioni 13 zilizoongezeka kama ada ya benki hiyo ya kukusanya fedha kutoka benki mbalimbali ukiwa ni mkopo ambao Serikali ya Tanzania ilikuwa ikiuhitaji wa Dola Milioni 600 kwa ajili ya miradi ya maendeleo.

Fedha hizo ambazo ni sawa na shilingi Trilioni 1.3 zilikuwa ni mkopo kwa ajili ya miradi hiyo kwa mwaka wa fedha 2012/13 ambapo iliitumia benki hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mabadiliko ya barabara Dar kuanza leo

>Utekelezaji wa mabadiliko ya matumizi ya barabara katikati ya Jiji la Dar es Salaam unaanza leo na alama za kuonyesha njia hizo zimeshawekwa katika barabara zote zitakazohusika.

 

9 years ago

Habarileo

Ligi Dar es Salaam kuanza leo

MICHUANO ya ligi ya mkoa wa Dar es Salaam kwa msimu wa mwaka 2015/2016 inatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo kwa michezo minne kupigwa katika viwanja tofauti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani