UDA yaivua nguo serikali
SAKATA la umiliki wa Shirika la Usafiri jijini Dar es Salaam (UDA), limeiingiza serikali katika aibu ya mwaka, huku mawaziri na wabunge ‘wakivuana nguo’ bungeni. Hali hiyo iliyosababisha baadhi ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Tume ya Warioba yaivua nguo serikali
JANA taifa lilisimama saa nne kwa Watanzania kuelekeza masikio na macho kwenye runinga kusikiliza ufafanuzi wa wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, juu ya upotoshaji wa viongozi waandamizi...
11 years ago
Habarileo16 May
Serikali yasema UDA ni ‘mali ya umma’
HADI sasa mmiliki halali wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ni Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na Serikali kupitia Msajili wa Hazina.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HfUvPSttO0I5OPqdx44Kzq2wn7fqAHjinTcKQI7baQr2bif*jjyBGcjnqnyHGHTfqKVHEJ5Q-T1IXfSnlXmD3jrVgBV*GY0g/STAZ.jpg?width=650)
STARS YAIVUA UBINGWA UGANDA, YATINGA NUSU FAINALI CHALENJI
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
UDA wagoma!
Na Mwandishi wetu
MADEREVA wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), wanaofanya safari kati ya Mnazimmoja na Kivukoni jana waligoma kufanya kazi wakipinga agizo la uongozi kuwataka wapeleke hesabu ya sh 300,000 kwa siku.
Kutokana na mgomo huo abiria wanaosafiri katika njia hiyo, walipata usumbufu hadi pale ufumbuzi wa mgogoro huo ulipopatikana majira ya saa moja asubuhi.
Akizungumza niaba ya madereva na makondakta jijini Dar es Salaam, mmoja wa madereva, ambaye hakupenda jina lake...
11 years ago
Habarileo05 Jun
Mgogoro UDA
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA), limeingia katika mgogoro na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kwa ukiukwaji wa masharti ya leseni.
10 years ago
Habarileo20 Oct
Madereva UDA wagoma
MGOMO uliokuwa umeanza leo wa madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) umezimwa baada ya uongozi wa shirika hilo kukubali kushughulikia malalamiko ya madereva hao.
10 years ago
Mtanzania23 Mar
UDA taabani kifedha
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
WAKATI Serikali ikitafakari kulipatia Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) haki ya kuendesha mradi mkubwa wa mabasi yaendayo kasi katika Jiji la Dar es Salaam, kuna habari kuwa shirika hilo linaelekea kufilisika.
Habari za uhakika kutoka ndani ya shirika hilo zimebainisha kuwa kwa sasa UDA liko katika hali mbaya kifedha kiasi cha kushindwa kumudu gharama za kujiendesha, ikiwamo kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara.
Chanzo hicho cha habari...
10 years ago
Habarileo26 Sep
UDA yatimua madereva 42
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limewafukuza kazi madereva wake 42 kwa makosa mbalimbali, yakiwemo utovu wa nidhamu. Makosa mengine yaliyosababisha wafukuzwe kazi ni, kuvunja sheria za barabarani kwa makusudi, kukatisha njia kinyume cha taratibu na kutoza nauli zisizo rasmi tofauti na zilizopo kwenye tiketi.
11 years ago
TheCitizen08 Jul
UDA must play by the rules