Udini,chuki marufuku,Ufaransa
Serikali ya Ufaransa imesema hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watu watakaobainika kujihusisha na ugaidi na kueneza chuki.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Mameya magharibi mwa Ufaransa wamepiga marufuku watu kuwa wagonjwa kutokana na ukosefu wa madaktari
9 years ago
Raia Mwema10 Sep
Udini, ukabila ni ukaburu
KATI ya nukuu ama wosia muhimu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa Watanzania ni kukataa
Mwandishi Wetu
9 years ago
Habarileo08 Sep
Bulembo aonya udini na ukabila
MWENYEKITI wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo, ameonya juu ya siasa za udini na ukabila kwenye kampeni na kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuchukua hatua dhidi ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Vijana tusitumike kueneza udini
VIJANA katika taifa lolote ni nguzo muhimu katika siku zijazo, na wana jukumu la kulinda na kuendeleza mafanikio yaliyopatikana katika kizazi cha sasa kwa ajili ya kizazi kijacho. Jukumu hilo...
10 years ago
Mtanzania30 Apr
Dk. Shein akemea udini, ukabila
NA AMON MTEGA, RUVUMA
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka Watanzania wasigawanyike kwa masuala ya kidini na ukabila kwa kuwa wanaweza kuvuruga amani ya nchi.
Dk. Shein alitoa wito huo jana mjini Songea alipokuwa akizindua mbio za mwenge wa uhuru katika Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.
“Kuna baadhi ya makundi yamekuwa yakifanya jitihada za kuwagawa Watanzania kwa kuingiza masuala ya udini na
wengine wanaanza kueneza ukabila.
“Mambo hayo tusiyaruhusu...
11 years ago
Habarileo24 Jul
Mwinyi, Sumaye wakemea udini
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili , Ali Hassan Mwinyi ametaka Watanzania kuwa makini kwa kutoruhusu tofauti za dini zilizopo nchini, kuwa chanzo cha mgawanyiko miongoni mwao.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-D_z5YSnzaXM/U_jG9DkgraI/AAAAAAAGB0g/laIj1WtMM_I/s72-c/images.jpg)
PROFESA MUHONGO ni MUATHIRIKA wa propaganda ya UDINI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-D_z5YSnzaXM/U_jG9DkgraI/AAAAAAAGB0g/laIj1WtMM_I/s1600/images.jpg)
10 years ago
Habarileo09 Feb
Watanzania waonywa urais wa fedha, udini
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amewataka Watanzania kuwapuuza wanasiasa wenye kutaka kutumia fedha, dini, ukabila na aina yoyote ya ubaguzi kujijengea uhalali na kuombea kura katika uchaguzi mkuu ujao.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h04tScqf3LYLs-*pet39FOi*ga1cWxKbTE*zECDuEeG70bUHpYQBUXODFnHeGiKyO-mHO-TmRzt9f64gdhPYZXY35gZqyXlO/NapeNnauye.jpg)
CCM YALAANI UDINI WA LOWASSA NA CHADEMA.