Ufaulu kufikia asilimia 80
BAADA ya kupata mafanikio katika Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imedhamiria kuongeza kiwango cha ufaulu kwa shule za msingi na sekondari, kutoka asilimia 70 hadi 80 mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-JkxntoBjZD8/VP3YEwU41kI/AAAAAAAHJKA/apTB9qpP7Kk/s72-c/unnamed%2B(52).jpg)
MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO KUTOKA ASILIMIA 4.0 MWEZI JANUARI, 2015 HADI KUFIKIA ASILIMIA 4.2 MWEZI FEBRUARI, 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-JkxntoBjZD8/VP3YEwU41kI/AAAAAAAHJKA/apTB9qpP7Kk/s1600/unnamed%2B(52).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-1nLQAkCBnRM/VP3YEy7eD4I/AAAAAAAHJKE/yuUUI8PmvSI/s1600/unnamed%2B(53).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima22 May
KUFIKIA MALENGO YA BRN NECTA yazindua vitabu vya uchambuzi wa ufaulu
AGOSTI 15 2013 Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ilizindua mpango wake wa utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa(BRN) katika sekta ya elimu. Uzinduzi huo uliofanywa na Waziri...
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Ufaulu wa wanafunzi Kigoma wapanda kwa asilimia 12.01
Kaimu Afisa Elimu wa mkoa wa Kigoma, Venance Babukege, akizungumza katika hafla ya upangaji matokeo ya darasa la saba mwaka 2015 mkoani humo mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuel Senny).
Na Emmanuel Senny, Kigoma
Kiwango cha Elimu ya Msingi mkoani Kigoma kimeonekana kupanda kwa mwaka 2015 ikilinganisha na mwaka jana baada ya ufaulu wa wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka huu kupanda kwa asilimia 12.01.
Akizungumza katika hafla ya upangaji matokeo ya darasa la saba mwaka...
9 years ago
Mwananchi31 Oct
Matokeo darasa la saba hadharani, ufaulu juu kwa asilimia 11
10 years ago
StarTV09 Jan
Mfumuko wa bei ulipungua na kufikia asilimia 6.1 mwaka jana.
Na Immaculate Kilulya,
Dar Es Salaam.
Mfumuko wa bei wa Taifa mwaka jana umepungua na kufikia asilimia 6.1 kutoka wastani wa asilimia 7.9 mwaka 2013 kutokana na kupungua kwa bei za baadhi ya bidhaa za vyakula na zisizo za vyakula.
Miongoni mwa vyakula vilivyopungua ni Mahindi kwa asilimia 11.3, unga wa mahindi asilimia 7.6, Samaki asilimia 4, Ndizi za kupika asilimia 3.2, Mbogamboga asilimia 11.5, Mihogo asilimia 10.5 na Sukari asilimia 4.2.
Kwa upande wa baadhi ya bidhaa zisizo za...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CrABOyi8Vaw/VWBC9x9YtwI/AAAAAAAHZUk/7hvT4c4diSU/s72-c/Picha%2BN0.%2B2.jpg)
Miradi ya Umeme kufikia asilimia 40-45 ikikamilika kwa wakati- Simbachawene
Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene amesema endapo utekelezaji wa Miradi ya Umeme Vijijini Awamu ya Pili, inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), itakamilika kama ilivyopangwa ifikapo Juni mwaka huu, itawezesha kufikikiwa asilimia 40-45 ya Vijiji na Miji iliyounganishwa na Huduma ya Umeme kwa upande wa Tanzania Bara.
Waziri Simbachawene ameyaeleza hayo wakati wa ziara yake katika Vijiji vya Mtitaa,...
9 years ago
StarTV11 Nov
Tanzania yajipanga kufikia asilimia mbili maambukizi ya VVU 2020
Tanzania ni miongoni mwa nchi za bara la Afrika zilizo kwenye mchakato wa kupunguza maambukizi mapya ya VVU na Ukimwi.
Mpaka sasa takwimu zinaonyesha ni asilimia 5.7 ya maambukizi halisi wakati mpango huo ukionekana kuzaa matunda tofauti na miaka ya nyuma.
Hata hivyo elimu inahitajika zaidi katika mikoa mbalimbali juu ya matumizi endelevu ya kinga, kuwa mwaminifu kwa mpenzi mmoja na kusisitiza Jando kwa wanaume ili kufikia mwaka 2020 maambukizi mapya yaweze kufikia chini ya asilimia...
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Ofisi ya Taifa ya Takwimu yasema mfumuko wa bei umeshuka kufikia asilimia 6.1
![1](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/10/110.jpg)
Taarifa ikichuliwa na wanahabari.
Mwanahabari Hilda kutoka gazeti la Daily News akichukua taarifa hiyo kwa umakini zaidi.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Na Dotto...
9 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI UMESHUKA KUFIKIA ASILIMIA 6.1
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema mfumuko wa bei...