UFC wathibitisha kufanyika pambano la pili kati ya Ronda Rousey na Holly Holm
Rais wa UFC, Dana White amethibitisha Alhamis hii kuwa Ronda Rousey atapata mechi ya pili kutetea mkanda wa bantamweight dhidi ya Holly Holm, aliyempiga kwa knock out mwezi uliopita.
Akiongea kwenye kipindi kimoja cha redio jana, White alisema kutakuwepo na mechi ya marudiano kati ya mabondia hao japo hakusema itakuwa lini.
“I think that if we didn’t make the rematch, me and Lorenzo should probably lose our “Yeah, that fight’s going to happen. I don’t know when, but that’s the fight that...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Nov
Picha: Ronda Rousey asema ‘nitarejea’, ni baada ya kupigwa kwa KO ya aibu na Holly Holm

Bondia Ronda Rousey amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kushindwa kwa knock-out Jumapili ya jana na Holly Holm.
Teke la Holly Holm lililomdondosha Ronda Rousey chini
Rousey alishindwa vibaya baada ya kuangushwa kwa teke kali la Holm kwenye raundi ya pili ya mchezo huo wa UFC uliovunja rekodi kwa kushuhudiwa na 56,214 huko Melbourne, Australia.
Hilo ni pambano la kwanza kwa bondia huyo kushindwa.
Baada ya pambano hilo bondia huyo alipelekwa kwenye hospitali ya mjini humo na kushindwa...
9 years ago
Bongo519 Nov
Ronda Rousey kutopanda ulingoni kwa miezi sita baada ya kupigwa kwa KO na Holly Holm

Ronda Rousey atatakiwa kukaa nje ya ulingo kwa siku 180 kutokana na kupigwa kwa knock-out na Holly Holm kwenye UFC 193 weekend hii.
Rousey alipigwa vibaya na Holm aliyewahi kuwa mwana masumbwi wa kulipwa na kuivunja rekodi yake ya kutowahi kupigwa. Alishindwa katika raundi ya pili kwa teke kali la kichwani.
Bondia huyo mwenye miaka 28 alipelekwa hospitali nchini Australia.
Kupitia Instagram baada ya mchezo huo, Rousey aliandika: I just wanted to thank everyone for the love and support. I...
5 years ago
GIVEMESPORT24 Mar
UFC news: Video of Conor McGregor’s best UFC finishes shows why he is the sport’s biggest star
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Pambano la Cheka sasa kufanyika Machi 1
10 years ago
Vijimambo13 Sep
PAMBANO HILI NI LEO USIKU LAKINI LINAONEKANA KUDODA SIYO KAMA PAMBANO LILILOPITA MAYWEATHER NA PAC.

Je,unamshabikia nani katika pigano la kesho kati ya bingwa wa ndondi duniani uzani wa welter Floyd Mayweather na Andre Berto?
9 years ago
StarTV23 Nov
Mkutano wa pili wa FOCAC kufanyika Desemba
Mkutano wa pili wa taasisi ya ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC unatarajiwa kufanyika mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini mwanzoni mwa mwezi ujao.
Lengo kuu la mkutano huo ni kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya pande hizo.
Balozi mdogo wa China nchini Zhang Biao amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ubalozi wa China hapa nchini.
Amesema viongozi wakiwemo wakuu wa nchi zaidi ya 50 na wa Umoja wa Afrika akiwemo Rais wa China XI...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Miss Kanda Mashariki Vipaji kufanyika Idd Pili
WAREMBO 14 wanaowania taji la Kanda ya Mashariki, Redd’s Miss Eastern Zone 2014, wanakabiliwa na mchuano wa kuwania la taji la vipaji utakaofanyika siku ya Idd Pili katika Ukumbi wa...
11 years ago
Michuzi
tamasha la filamu Tanzania kufanyika mkoani Mtwara Idd Pili
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa muda wa wiki moja kuanzia sikukuu ya idd Pili hadi Agosti 5 mwaka huu. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana , Meneja Masoko wa TBL, Fimbo Butallah, alisema kuwa tamasha la mwaka huu litafanyika mkoani Mtwara kwenye viwanja vya Mashujaa na hii...
11 years ago
Michuzi25 May