Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano wa pili wa FOCAC kufanyika Desemba

Mkutano wa pili wa taasisi ya ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC unatarajiwa kufanyika mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini mwanzoni mwa mwezi ujao.

Lengo kuu la mkutano huo ni kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya pande hizo.

Balozi mdogo wa China nchini Zhang Biao amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ubalozi wa China hapa nchini.

Amesema viongozi wakiwemo wakuu wa nchi zaidi ya 50 na wa Umoja wa Afrika akiwemo Rais wa China XI...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tamasha la Handeni Kwetu kufanyika Desemba 13

TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama 'Handeni Kwetu' limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga.
Katika tamasha hilo linalofanyika kwa mara pili, burudani mbalimbali za ngoma za asili zinatarajiwa kuonekana jukwaani, ambapo pia vikundi kutoka nje ya Handeni, mkoani Tanga navyo vitaalikwa kwa ajili ya kwenda kutoa burudani wilayani humo.
Akizungumzia hilo, jijini Dar es Salaam, Mratibu Mkuu wa tamasha hilo, Kambi Mbwana, alisema...

 

9 years ago

Habarileo

Uchaguzi Handeni, Arusha Mjini kufanyika Desemba 12

UCHAGUZI wa ubunge kwa majimbo ya Handeni na Arusha Mjini umepangwa kufanyika Desemba 12, mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA TASWA KUFANYIKA DESEMBA 12 MWAKA HUU

TUZO za Wanamichezo Bora wa Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) zinatarajiwa kufanyika Desemba 12 mwaka huu, huku Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group Limited ikijitokeza kuwa mdhamini mshiriki wa tuzo hizo kwa kutoa Sh. Milioni 10. Akizungumza na waandishi wa habari katika mgahawa wa City Sports Lounge, Dar es Salaam katika hafla ya kutangaza udhamini huo jana, Meneja Mkuu wa SSB Limited, Said Muhammad Said alisema wameamua kudhamini tuzo...

 

11 years ago

GPL

Droo ya pili Shinda Mahela na Championi ni Desemba 23

Na Mwandishi Wetu
DROO ya pili ya Shinda Mahela na Championi inatarajiwa kufanyika Desemba 23, mwaka huu kwa ajili ya kuwapa zawadi za Krisimasi washindi wake. Dereva bajaj akijaza kuponi ya Promosheni ya Shinda Mahela na Championi. Zawadi ambazo…

 

11 years ago

Mwananchi

Tume ya Katiba kukabidhi rasimu ya pili Desemba 30

Tume ya Mabadiliko ya Katiba itakabidhi rasimu ya pili ya Katiba kwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, Desemba 30, mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA WIKI YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI KUFANYIKA DESEMBA 7

Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Reuben Ruhongole akizungumza.
Ofisa Mkaguzi Mwandamizi Idara ya Uthibiti Masuala ya Usalama, TRAA, Mtesigwa Maugo, akifafanua jambo.
Mwakilishi wa…

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KUMSHUKURU MUNGU SASA KUFANYIKA DESEMBA 25 DIAMOND JUBILEE.

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akifafanua jambo kwa umakini mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki kuhusu maandalizi ya tamasha la kumshukuru Mungu kwa amani na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu litakalofanyika Desemba 25.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki kuhusu maandalizi ya tamasha la kumshukuru Mungu kwa amani na utulivu wakati...

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha la Handeni Kwetu lasogezwa mbele, sasa kufanyika Desemba 20

TAMASHA la Utamaduni la NSSF Handeni Kwetu, sasa litafanyika Desemba 20, badala ya Desemba 13, kama ilivyotangazwa hapo awali, huku sababu kubwa ikiwa ni kuwaachia Watanzania washiriki katika mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, utakaofanyika Jumapili ya Desemba 14 nchini kote.Mratibu Mkuu wa Tamasha la NSSF Handeni Kwetu 2014, pichani akizungumza jambo katika tamasha la mwaka jana lililofanyika kwa mafanikio makubwa wilayani Handeni, mkoani Tanga. Akizungumzia hilo leo mjini...

 

9 years ago

Michuzi

MKESHA WA MWAKA MPYA KITAIFA KUFANYIKA VIWANJA VYA UHURU DESEMBA 31.

Na Zainabu Hamis,Globu ya Jamii.MAASKOFU na Wachungaji wa kamati ya maandalizi ya Mkesha wa mwaka mpya Kitaifa kufanyika katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es salaam Desemba 31,Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Askofu Godfrey Malassy, wamewaomba watanzania wote kujitokeza siku ya Desemba 31 katika kuliombea Amani na Utulivu wa Taifa letu.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Jumuiya wa Makanisa ya Pentekoste , ambaye pia ni Askofu wa huduma ya Tanzania Fellowship Churches (TFC), Askofu ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani