Ugaidi Kenya waathiri utalii Tanzania
MATUKIO ya ugaidi yanayoendelea nchini Kenya yameathiri kwa kiwango kikubwa sekta ya utalii nchini. Hayo yalielezwa jijini Dar es Salaam jana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk. Ladislaus Komba,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
11 years ago
Habarileo19 Jun
Wabunge:Ugaidi Kenya hatari kwa utalii
MJADALA wa Bajeti Kuu ya Serikali umeendelea kushika kasi bungeni mjini hapa ambapo wabunge wameitaka Serikali kuwa makini na mashambulizi ya kigaidi yanayotokea nchini Kenya kwa vile yanaweza kuathiri sekta ya utalii nchini. Mbali ya onyo hilo wabunge pia wameitaka Serikali kuangalia uwezekano wa kuwatoza kodi wamiliki wa nyumba za kupanga, kama chanzo kipya cha kuongeza mapato yake.
5 years ago
BBCSwahili20 May
Sudan imetakiwa kuwalipa fidia walioathiriwa na mlipuko wa ugaidi katika balozi za Marekani Tanzania na Kenya
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC) zatangaza utalii wa Tanzania Uingereza
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kallaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya mpira ya Sunderland wakionyesha jezi ya iliyoandikwa Tanzania yenye rangi za timu hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa matangazo ya Utalii wa Tanzania yanayotangazwa katika uwanja wa timu hiyo kutoka kulia ni Meneja wa Masoko wa Bodi ya Utalii Bw. Geofrey Meena, Teddy Mapunda mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya (TTB) na kutoka kushoto ni Mdau wa Utalii Bw. Nestor Mapunda na Kaimu Mkurugenzi...
10 years ago
Vijimambo08 Dec
BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA SUNDERLAND (SAFC) ZATANGAZA UTALII WA TANZANIA UINGEREZA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/110.jpg)
10 years ago
Michuzi07 Feb
TANZANIA YATANGAZA UTALII PARIS KUPITIA MAWAKALA WA UTALII
Madhumuni ya hafla hii ni kuitangazia Tanzania na vivutio vyake vya utalii kwa mawakala wa safari (Tour operators) ambao ni wadau wakubwa kutokana na ushawishi wao kwa watalii wa Ufaransa wanaotaka kutembelea Tanzania.
10 years ago
Mtanzania03 Sep
JK ajadili ugaidi Kenya
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RAIS Jakaya Kikwete amewasili jijini Nairobi, nchini Kenya, juzi usiku kuhudhuria mkutano maalumu wa wakuu wa nchi zinazounda Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), ambalo Tanzania ni mwanachama.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, mkutano huo wa siku moja uliofanyika jana, umejadili ugaidi na athari zake kwa nchi za Afrika.
Mkutano huo ulifanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha...
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Watanzania washukiwa ugaidi Kenya
10 years ago
Habarileo22 Sep
Kenya wakumbuka ugaidi Westgate
KENYA imeadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kutokea kwa tukio la kutekwa na kushambuliwa na kundi linalodhaniwa kuwa la ugaidi katika maduka ya Westgate na kusababisha vifo vya watu takribani 67.