Wabunge:Ugaidi Kenya hatari kwa utalii
MJADALA wa Bajeti Kuu ya Serikali umeendelea kushika kasi bungeni mjini hapa ambapo wabunge wameitaka Serikali kuwa makini na mashambulizi ya kigaidi yanayotokea nchini Kenya kwa vile yanaweza kuathiri sekta ya utalii nchini. Mbali ya onyo hilo wabunge pia wameitaka Serikali kuangalia uwezekano wa kuwatoza kodi wamiliki wa nyumba za kupanga, kama chanzo kipya cha kuongeza mapato yake.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Ugaidi Kenya waathiri utalii Tanzania
MATUKIO ya ugaidi yanayoendelea nchini Kenya yameathiri kwa kiwango kikubwa sekta ya utalii nchini. Hayo yalielezwa jijini Dar es Salaam jana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk. Ladislaus Komba,...
10 years ago
Mwananchi31 Mar
Mtanzania akamatwa kwa ugaidi Kenya
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Mshukiwa wa ugaidi ajisalimisha kwa polisi Kenya
10 years ago
Mwananchi10 Apr
Mtanzania anayetuhumiwa kwa ugaidi Kenya kizimbani
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-ekr8W1umcQw/VSYmEwmfNUI/AAAAAAAAaNI/WPZJQnsk1yg/s72-c/3.jpg)
YULE MWANAFUNZI MTANZANIA ALIYEKAMATWA KWA UGAIDI KENYA ANA STORI NDEFU
![](http://2.bp.blogspot.com/-ekr8W1umcQw/VSYmEwmfNUI/AAAAAAAAaNI/WPZJQnsk1yg/s640/3.jpg)
Mtanzania aliyekamatwa Kenya akidaiwa kufanya ugaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa uliosababisha vifo vya watu 148, Rashid Charles Mberesero (20) ni mwanafunzi wa kidato cha tano, lakini uongozi wa shule anayosoma umesema alitoweka shuleni hapo kati ya Desemba na Novemba 2014.
Habari zilizothibitishwa na wazazi wake ni kuwa mwanafunzi huyo anasoma katika Shule ya Sekondari ya Bihawana, Dodoma, baada ya kufaulu katika Shule ya Sekondari Gonja mkoani Kilimanjaro. Mama mzazi wa kijana huyo,...
10 years ago
Mwananchi20 May
Rais wa Msumbiji ataka wabunge waungane dhidi ya ufisadi, ugaidi
10 years ago
StarTV03 Feb
Wabunge wataka utekelezaji changamoto zilizobainika Wizara ya Maliasili na Utalii.
Na Joyce Mwakalinga
Dodoma.
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuwasilisha mbele ya kamati hiyo matumizi ya fedha zaidi ya shilingi bilioni 3.5 zilizokuwa zimekusanywa kwa ajili ya kuwalipa posho askari walioshiriki katika operesheni tokomeza.
Sanjari na agizo hilo pia imemtaka mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kufanya uchunguzi maalum wa jinsi pesa hizo zilivyotumika.
Agizo hilo lilitolewa na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya...
10 years ago
Mtanzania03 Sep
JK ajadili ugaidi Kenya
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RAIS Jakaya Kikwete amewasili jijini Nairobi, nchini Kenya, juzi usiku kuhudhuria mkutano maalumu wa wakuu wa nchi zinazounda Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), ambalo Tanzania ni mwanachama.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, mkutano huo wa siku moja uliofanyika jana, umejadili ugaidi na athari zake kwa nchi za Afrika.
Mkutano huo ulifanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha...
10 years ago
Habarileo22 Sep
Kenya wakumbuka ugaidi Westgate
KENYA imeadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kutokea kwa tukio la kutekwa na kushambuliwa na kundi linalodhaniwa kuwa la ugaidi katika maduka ya Westgate na kusababisha vifo vya watu takribani 67.