Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtanzania akamatwa kwa ugaidi Kenya

Dar es Salaam. Vyombo vya usalama nchini Kenya, vinawashikilia wasichana watatu akiwamo Mtanzania, kwa kile kunachodaiwa kutaka kujiunga na kundi la kigaidi la al-Shabaab huko Somalia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtanzania anayetuhumiwa kwa ugaidi Kenya kizimbani

>Mtanzania anayedaiwa kuhusika katika shambulizi la kigaidi lililoua watu 148 katika Chuo Kikuu cha Garissa – Kenya, Rashid Charles Mberesero, jana alifikishwa mahakamani na kuwekwa kizuizini kwa mwezi mmoja wakati polisi wakiendelea kukusanya ushahidi dhidi yake.

 

10 years ago

Vijimambo

YULE MWANAFUNZI MTANZANIA ALIYEKAMATWA KWA UGAIDI KENYA ANA STORI NDEFU


Mtanzania aliyekamatwa Kenya akidaiwa kufanya ugaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa uliosababisha vifo vya watu 148, Rashid Charles Mberesero (20) ni mwanafunzi wa kidato cha tano, lakini uongozi wa shule anayosoma umesema alitoweka shuleni hapo kati ya Desemba na Novemba 2014.
Habari zilizothibitishwa na wazazi wake ni kuwa mwanafunzi huyo anasoma katika Shule ya Sekondari ya Bihawana, Dodoma, baada ya kufaulu katika Shule ya Sekondari Gonja mkoani Kilimanjaro. Mama mzazi wa kijana huyo,...

 

10 years ago

Vijimambo

UNDANI WA MTANZANIA ALYENASWA KWENYE UGAIDI WA KENYA "GARRISSA ATTACK"

Mtuhumiwa ugaidi Kenya alitoweka shuleni Dodoma Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bihawana mkoani Dodoma, Joseph Mbilinyi akizungumza na mwandishi wa Mwananchi kuhusu mwanafunzi wa kidato cha tano shuleni hapo, Rashid Mberesoro (kulia) ambaye anahusishwa na tuhuma za ugaidi nchini Kenya. Picha na Sharon Sauwa       Kwa ufupiHabari zilizothibitishwa na wazazi wake ni kuwa mwanafunzi huyo anasoma katika Shule ya Sekondari ya Bihawana,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtuhumiwa wa ugaidi akamatwa Uingereza

Mtuhumiwa wa ugaidi Moazzam Begg amekamatwa nchini Uingereza pamoja na wenzake watatu

 

11 years ago

BBCSwahili

Mshukiwa wa ugaidi mkenya akamatwa TZ

Mmoja wa watuhumiwa wa matukio ya ugaidi nchini Kenya,Jihad Gaibon Swaleh, amefikishwa mahakamani nchini Tanzania.

 

9 years ago

Mwananchi

Mtanzania akamatwa na kilo 74 za ‘unga’ India

Maofisa uhamiaji wa Uwanja wa Ndege wa Mumbai, India wamemkamata Mtanzania, Fatma Chambo Basil akiwa na kilo 74 za dawa za kulevya aina ya methaqualone alizokuwa akizisafirisha kuleta nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge:Ugaidi Kenya hatari kwa utalii

MJADALA wa Bajeti Kuu ya Serikali umeendelea kushika kasi bungeni mjini hapa ambapo wabunge wameitaka Serikali kuwa makini na mashambulizi ya kigaidi yanayotokea nchini Kenya kwa vile yanaweza kuathiri sekta ya utalii nchini. Mbali ya onyo hilo wabunge pia wameitaka Serikali kuangalia uwezekano wa kuwatoza kodi wamiliki wa nyumba za kupanga, kama chanzo kipya cha kuongeza mapato yake.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshukiwa wa ugaidi ajisalimisha kwa polisi Kenya

Mmoja wa washukiwa wanne wa ugaidi waliokwepa msako wa polisi mjini Mombasa Jumatatu amejisalimisha kwa polisi akisindikizwa na babake.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanamke Mtanzania 'adaka' Kenya kwa 'unga’

MWANAMKE raia wa Tanzania, Joyce Mhonja Mosendi (38) anashikiliwa na Polisi kituo cha Isebania Wilaya ya Kurya West nchini Kenya akituhumiwa kukutwa na unga uliokuwa umepakiwa katika pakiti zaidi ya kumi na kuwekwa kwenye ndoo ya plastiki uliovushwa kwa pikipiki kuingia nchini humo kutoka Sirari, upande wa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani