UNDANI WA MTANZANIA ALYENASWA KWENYE UGAIDI WA KENYA "GARRISSA ATTACK"
Mtuhumiwa ugaidi Kenya alitoweka shuleni Dodoma Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bihawana mkoani Dodoma, Joseph Mbilinyi akizungumza na mwandishi wa Mwananchi kuhusu mwanafunzi wa kidato cha tano shuleni hapo, Rashid Mberesoro (kulia) ambaye anahusishwa na tuhuma za ugaidi nchini Kenya. Picha na Sharon Sauwa Kwa ufupiHabari zilizothibitishwa na wazazi wake ni kuwa mwanafunzi huyo anasoma katika Shule ya Sekondari ya Bihawana,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Mar
Mtanzania akamatwa kwa ugaidi Kenya
10 years ago
Mwananchi10 Apr
Mtanzania anayetuhumiwa kwa ugaidi Kenya kizimbani
10 years ago
VijimamboYULE MWANAFUNZI MTANZANIA ALIYEKAMATWA KWA UGAIDI KENYA ANA STORI NDEFU
Mtanzania aliyekamatwa Kenya akidaiwa kufanya ugaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa uliosababisha vifo vya watu 148, Rashid Charles Mberesero (20) ni mwanafunzi wa kidato cha tano, lakini uongozi wa shule anayosoma umesema alitoweka shuleni hapo kati ya Desemba na Novemba 2014.
Habari zilizothibitishwa na wazazi wake ni kuwa mwanafunzi huyo anasoma katika Shule ya Sekondari ya Bihawana, Dodoma, baada ya kufaulu katika Shule ya Sekondari Gonja mkoani Kilimanjaro. Mama mzazi wa kijana huyo,...
10 years ago
Mtanzania03 Sep
JK ajadili ugaidi Kenya
Rais Jakaya Kikwete
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RAIS Jakaya Kikwete amewasili jijini Nairobi, nchini Kenya, juzi usiku kuhudhuria mkutano maalumu wa wakuu wa nchi zinazounda Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), ambalo Tanzania ni mwanachama.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, mkutano huo wa siku moja uliofanyika jana, umejadili ugaidi na athari zake kwa nchi za Afrika.
Mkutano huo ulifanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha...
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Watanzania washukiwa ugaidi Kenya
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Kenya na Uingereza kukakabili ugaidi
10 years ago
Habarileo22 Sep
Kenya wakumbuka ugaidi Westgate
KENYA imeadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kutokea kwa tukio la kutekwa na kushambuliwa na kundi linalodhaniwa kuwa la ugaidi katika maduka ya Westgate na kusababisha vifo vya watu takribani 67.
11 years ago
BBCSwahili30 May
Mchawi mtanzania jela miaka 3 Kenya
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Mshukiwa wa kike wa ugaidi asakwa-Kenya