Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ajadili ugaidi Kenya

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIS Jakaya Kikwete amewasili jijini Nairobi, nchini Kenya, juzi usiku kuhudhuria mkutano maalumu wa wakuu wa nchi zinazounda Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), ambalo Tanzania ni mwanachama.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, mkutano huo wa siku moja uliofanyika jana, umejadili ugaidi na athari zake kwa nchi za Afrika.

Mkutano huo ulifanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Watanzania washukiwa ugaidi Kenya

Polisi nchini Tanzania inafanya mpango wa kuwasilliana na wenzao wa Kenya ili kujua hatima ya Watanzania waliokamatwa nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya na Uingereza kukakabili ugaidi

Je Kenya itaweka mkataba mpya na Uingereza kuruhusu wanajeshi wa Uingereza kuendelea kufanya mazoezi nchini humo?

 

10 years ago

Habarileo

Kenya wakumbuka ugaidi Westgate

KENYA imeadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kutokea kwa tukio la kutekwa na kushambuliwa na kundi linalodhaniwa kuwa la ugaidi katika maduka ya Westgate na kusababisha vifo vya watu takribani 67.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita vya Kenya dhidi ya ugaidi

Serikali ya Kenya imeahidi kuendeleza juhudi za kuwawinda magaidi wanaondelea kusababisha usalama mdogo nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mswada wa ugaidi Kenya wawakera wengi

Bunge la Kenya limepitisha mswada unaolenga kuwapa nguvu zaidi maafisa usalama kukabiliana na ugaidi pamoja na maswala mengine ya usalama.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi ya ugaidi ya Westgate yaanza Kenya

Kesi ya washukiwa wanne wa shambulizi la kigaidi la Westgate lililofanyika nchini Kenya mwaka jana, imeanza rasmi nchini humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtanzania akamatwa kwa ugaidi Kenya

Dar es Salaam. Vyombo vya usalama nchini Kenya, vinawashikilia wasichana watatu akiwamo Mtanzania, kwa kile kunachodaiwa kutaka kujiunga na kundi la kigaidi la al-Shabaab huko Somalia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ugaidi Kenya waathiri utalii Tanzania

MATUKIO ya ugaidi yanayoendelea nchini Kenya yameathiri kwa kiwango kikubwa sekta ya utalii nchini. Hayo yalielezwa jijini Dar es Salaam jana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk. Ladislaus Komba,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshukiwa wa kike wa ugaidi asakwa-Kenya

Kenya imetoa zawadi ya $20,000 kwa mtu yeyote atakaye toa habari za kukamatwa kwa mshukiwa mmoja wa ugaidi wa kike Rukia Faraj

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani