Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Msumbiji ataka wabunge waungane dhidi ya ufisadi, ugaidi

>Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewataka wabunge kuwa kitu kimoja katika viti dhidi ya ufisadi na ugaidi na nchi yake itakuwa mstari wa mbele kushirikiana na Tanzania kupambana na maovu hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Rais wa Msumbiji ataka uhusiano wa uchumi

Pg 2Na Debora Sanja, Dodoma
RAIS wa Msumbiji, Filipe Nyussi ametaka uhusiano wa nchi yake na Tanzania ulenge pia katika sekta ya uchumi.
Nyusi alitoa kauli hiyo Dodoma jana wakati akihutubia Bunge ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kwanza nchini tangu alipochaguliwa kuongoza Msumbiji.
Uhusiano huu usiishie kwenye siasa, usaidie pia watu kusafiri ndani ya nchi hizi kwa urahisi… sisi nchini kwetu tutaruhusu Watanzania waje kwa urahisi zaidi na wanapokuja wakae muda mrefu bila shida...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugaidi:Rais wa Somalia ataka ushirikiano

Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamoud, amesema kuwa Somalia na Kenya zinafaa kuimarisha uhusiano wao dhidi ya ugaidi,

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA CHUO CHA DIPLOMASIA, AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA KUZUNGUMZA NA RAIA WA MSUMBIJI WAISHIO NCHINI


Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiwajadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia (CFR), Balozi Mwanaidi Maajar huku Mkuu wa Chuo hicho Balozi Mohammed Maundi akisiskiliza wakati viongozi hao wakisubiri kumpokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi alipotembelea Chuoni hapo leo tarehe 18 Mei, 2015 wakati akiendelea na ziara yake ya kitaifa ya siku tatu hapa nchini. Chuo cha Diplomasia kilichopo...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli ataka Watanzania wasitishane na badala yake wachukue tahadhari dhidi ya Corona

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutotishwa na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) na badala yake waendelee kuchapa kazi na kujenga uchumi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga kuambukizwa ugonjwa huo kama zilivyotolewa na wataalamu.
Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo tarehe 22 Machi, 2020 alipohudhuria Ibada ya Jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi ni mbolea ya kuchochea ugaidi

Huko Nigeria mwanajeshi hunyongwa anapokataa kupigana dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram. Na karibuni huko Kenya ilipitishwa Sheria ya Usalama, ambayo pindi busara haitatumika itaweza ikaipeleka nchi hiyo pabaya na hata kuonekana mbele ya watu wa ndani na nje kwamba ni dola ya kipolisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi duniani ndiyo mbolea ya ugaidi

Nchini Nigeria mwanajeshi hunyongwa anapokataa kupigana dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge wakipalilia ufisadi

HIVI yule Mtanzania aliyetunga wimbo mzuri, mtamu na tuliokuwa tukiuimba kwa ufahari, mbwembwe na maringo ya hali ya juu enzi hizo tukiwa shuleni usemao: “Tanzania, Tanzania. Nakupenda kwa moyo wote,”...

 

10 years ago

Mtanzania

Wabunge wanusa ufisadi

Rajab-Mohamed-MbaroukElizabeth Hombo na Shabaan Matutu
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imebaini ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 1.7 katika Jiji la Dar es Salaam.
Kutokana na hilo, kamati hiyo imeitaka Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kufuatilia suala hilo pamoja na kuwachukulia hatua za kinidhamu watendaji wote waliohusika.
Pia kamati hiyo imeikataa taarifa ya mkurugenzi wa jiji hilo, Wilson Kabwe kuhusu makusanyo ya fedha za maegesho ya magari kwa kuwa haiendani na...

 

11 years ago

Habarileo

Shekhe ataka Uislamu utofautishwe na ugaidi

SHEKHE wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ameitaka jamii kutofautisha Uislamu na ugaidi, kwa kuwa dini hiyo na matendo hayo ni tofauti mithili ya ardhi na mbingu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani