Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wanusa ufisadi

Rajab-Mohamed-MbaroukElizabeth Hombo na Shabaan Matutu
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imebaini ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 1.7 katika Jiji la Dar es Salaam.
Kutokana na hilo, kamati hiyo imeitaka Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kufuatilia suala hilo pamoja na kuwachukulia hatua za kinidhamu watendaji wote waliohusika.
Pia kamati hiyo imeikataa taarifa ya mkurugenzi wa jiji hilo, Wilson Kabwe kuhusu makusanyo ya fedha za maegesho ya magari kwa kuwa haiendani na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge wakipalilia ufisadi

HIVI yule Mtanzania aliyetunga wimbo mzuri, mtamu na tuliokuwa tukiuimba kwa ufahari, mbwembwe na maringo ya hali ya juu enzi hizo tukiwa shuleni usemao: “Tanzania, Tanzania. Nakupenda kwa moyo wote,”...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wachoshwa kujadili wizi, ufisadi

WABUNGE wameelezea kuchoshwa na wizi, matumizi mabaya ya fedha na mikataba mibovu iliyobainishwa katika taarifa za baadhi ya kamati zilizowasilishwa bungeni juzi, na kushauri maazimio yapitishwe ili wahusika wa ufisadi huo wabanwe.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais wa Msumbiji ataka wabunge waungane dhidi ya ufisadi, ugaidi

>Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewataka wabunge kuwa kitu kimoja katika viti dhidi ya ufisadi na ugaidi na nchi yake itakuwa mstari wa mbele kushirikiana na Tanzania kupambana na maovu hayo.

 

10 years ago

GPL

MASTAA WANUSA KIFO AJALI YA NDEGE!

Mastaa kutoka tasnia ya uigizaji Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, Lucas Mhuvile ‘Joti’, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, Isaya Mwakilasa ‘Wakuvwanga’, Alex Chalamila ‘Mac Regan’, Sekioni David ‘Seki’ na abiria kibao wamenusurika kufa katika ajali ya ndege. Abiria wakiingia ndani ya ndege. Kwa mujibu wa shuhuda wetu ndani ya Uwanja wa Ndege wa...

 

10 years ago

GPL

BODABODA WANUSA KIFO KWA KUKWAPUA MKOBA

Mmoja kati ya vibaka hao akiwa hoi baada ya kupata kichapo kikali. Mayasa mariwata na denis mtima
Vijana wawili wa bodaboda ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja, hivi karibuni walikoswakoswa kuuawa baada ya kupora mkoba uliokuwa na simu ya mwanamke aliyekuwa akipita njia. Tukio hilo lilijiri Jumanne iliyopita, saa 1.30 usiku maeneo ya Sinza Afrikasana, pembeni mwa Baa ya Hongera ambapo inadaiwa ni eneo hatari kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Vijana, Jogoo wanusa robo fainali ya kikapu

Vijana imejiweka katika mazingira mazuri ya kuingia robo fainali ya Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) baada ya kuigaragaza Dodoma Spurs kwa pointi 76-28, huku Jogoo wakipewa ushindi wa mezani baada ya wapinzani wao, Ilala Flat kutotokea uwanjani.

 

10 years ago

Vijimambo

Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL

Sasa yagundulika aliyeleta mabehewa feki alikuwa na bei ya juu kuliko wote, Aliruhusiwa na kufanyia marekebisho zabuni yake kinyemelaMadudu zaidi yameendelea kuibuka katika sakata la mabehewa feki 274 yaliyonunuliwa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), na sasa imebainika kuwa kampuni iliyopewa zabuni ya kuleta mabehewa hayo ndiyo iliyokuwa ya bei ya juu zaidi kuliko kampuni 10 zilizokuwa zimeomba na haikuweka dhamana yoyote kama sheria ya manunuzi inavyotaka.

Aidha, imebainika pia kuwa ya...

 

11 years ago

GPL

YANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani