Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uganda yakumbwa na ugonjwa wa matende ambao ni nadra sana

Aina hii ya matende guu inayosababishwa na madini haina tiba na imewaathiri sana wakaazi wa magharibi mwa Uganda

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Ugonjwa wa Malale wadhibitiwa, Uganda

Maelfu ya watu nchini Uganda wameokolewa maisha, kutokana na mradi wa kusaidia kuutokomeza ugonjwa wa Malale

 

10 years ago

Vijimambo

UGONJWA MWINGINE WAIBUKA NCHI JIRANI YA UGANDA

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari ya kusafiri nchini Uganda baada ya kuthibitishwa kuwa daktari mmoja amefariki kutokana na ugonjwa hatari wa Marburg unaosambazwa na popo.Kwa sasa Shirika hilo kwa ushirikiano na mamlaka za afya za Uganda wamemzuilia ndugu mmoja wa marehemu kwa hofu kuwa huenda naye aliambukizwa. Watu wengine zaidi ya 80, wakiwemo matabibu 38 waliokutana na mwenzao huyo siku kumi kabla ya kifo chake nao pia wanachunguzwa.
Kwa mujibu wa WHO na mamlaka za afya za...

 

9 years ago

Bongo5

Michael Ross wa Uganda awachana Ma DJ na Mashabiki kuwa ndio chanzo cha kutosikika sana

Michael Ross

Wanamuziki huwa wanakutana na changamoto nyingi katika kazi zao, zikiwemo lawama za kutotoa kazi kwa wakati, lakini pale wanapotimiza majukumu yao bado wanakosa support kutoka kwa hao hao mashabiki.

Michael Ross

Muimbaji wa R&B kutoka Uganda, Michael Ross ameamua kabla ya kuuaga mwaka 2015 kutoa ya moyoni , na kujibu swali ambalo amekua akikutana nalo mara kwa mara la kwanini hasikiki sana kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Kupitia Facebook Michael ametoa majibu ya swali hilo:

“Nakutana na watu wengi...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio video ya matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika na nadra kutokea uwanjani …

Mtu wangu wa nguvu ikiwa leo Alhamisi ya December 24 ndio ile siku yetu ya kupost matukio mbalimbali ya zamani katika mitandao ya kijamii na kujikumbushia, naomba nikurudishe nyuma kidogo kwa matukio kadhaa ya soka. December 24 naomba nikukumbushie au nikusogezee video ya dakika 8 ya matukio ya staa wa soka kutokea Brazil Ronaldinho Gaucho, haya ndio […]

The post Hii ndio video ya matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika na nadra kutokea uwanjani … appeared first on...

 

9 years ago

Global Publishers

Chanjo ya Minyoo, Matende na Mabusha Yazinduliwa Dar

1.Wauguzi wa Wilaya ya Kinondoni wakitoa dawa za chanjo kwa wakazi wa maeneo ya Manzese Dar.Wauguzi  mbalimbali wa Wilaya ya Kinondoni wakitoa dawa za chanjo kwa wakazi wa Manzese Dar.2.Mmoja wa akina mama akiwa kwenye mstari wa kuchukua vidonge vya kuzuia, ninyoo, matende na mabusha kwenye zahanati ya manzese.Mmoja wa akina mama akiwa kwenye mstari kuchukua vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye Zahanati ya Manzese.3.,Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Azizi Msuya (kulia) akimnywesha dawa mtoto aliyefika kwenye zahanati ya Manzese kwa ajili ya kinga ya chanjo ya minyoo,matende na mabusha.Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Azizi Msuya (kushoto) akimnywesha dawa mtoto aliyefika kwenye Zahanati ya Manzese kwa ajili ya chanjo hiyo.4.Dkt. Azizi Msuya akihojiwa na wanahabari kwenye uzinduzi huo wa chanjo.Dkt. Azizi Msuya akihojiwa na wanahabari kwenye uzinduzi wa chanjo hiyo.5.Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Manzese, Nestory Kobero akihojiwa na mwanahabari.Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Manzese, Nestory Kobero...

 

10 years ago

Michuzi

CHANJO YA SURUA-RUBELLA, MATENDE NA MABUSHA KUTOLEWA

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO,Dar es salaam.
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inatarajia kufanya kampeni shirikishi ya ugonjwa wa Surua na Rubella kuanzia tarehe 18 hadi 24 oktoba, 2014.
Akizungumzia kampeni hiyo itakayofanyika nchini nzima leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Donan Mmbando amesema kuwa itawahusisha watoto wenye umri wa kuanzia miezi 9 hadi miaka 15.
Amesema kampeni hiyo itaambatana na utoaji wa matone ya Vitamini...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….

Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.

“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.

Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...

 

9 years ago

Mwananchi

Matatizo yanayowakabili wagonjwa wa mabusha, matende hapa nchini

Madaktari bingwa wa upasuaji wa mabusha na matende wametembelea  Mkoa wa Mtwara ili kuzinduzi wa kambi ya upasuaji kwa watu wenye tatizo la magonjwa hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani