Ugiriki na mgogoro wa kiuchumi
Kiongozi mkuu wa kundi la umoja wa ulaya Jeroen Dijsselbloem amesema ombi la Ugiriki limefanya msingi mzuri wa mahitaji ya Athens.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
Ugiriki yapata afueni ya kiuchumi
Bunge la ujerumani limepitisha maamuzi ya kuikomboa Ugiriki kiuchumi
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
Marekebisho ya Ugiriki 'yatafeli'
Harakati za kulikwamua taifa la Ugiriki katika madeni yake zimekosolewa na mawaziri ambao wamefutwa kazi kwa kupinga mpango huo.
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Ombi la Ugiriki lakataliwa
Ombi la serikali ya Ugiriki kuongezewa muda wa kulipa deni lake na kupewa msaada mpya kunusuru uchumi lakataliwa
11 years ago
GPLCOLOMBIA YAICHACHAFYA UGIRIKI
Colombia wakishangilia bao la kwanza. Teofilo Gutierrez akiifungia bao la pili Colombia katika dakika ya 58. TIMU ya taifa ya Colombia imeishushia kichapo cha bao 3-0 Ugiriki katika mechi yao ya kundi C kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Wafungaji wa Colombia ni: Pablo Armero 5, Teofilo Gutierrez 58 na James Rodriguez 90. VIKOSI:
Colombia:… ...
9 years ago
BBCSwahili20 Sep
Uchaguzi ni leo Ugiriki
Watu nchini Ugiriki wanaelekea vituo vya kupigia kura kwenye uchaguzi mkuu ambao ni wa tano ndani ya kipindi cha miaka sita
9 years ago
VijimamboMSIBA ATHES, UGIRIKI
Familia ya Marehemu George na Mama Rhoda Malongo wa Upanga, Dar es Salam wanasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa Esther Glory Malongo kilichotokea ghafla baada ya kuugua kwa muda mfupi tarehe 16/09/2015 Athens, Ugiriki.(1 Timothy 4:7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, imani nimeiilinda.)
Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa na watanzania waishio Athens, Ugiriki siku ya jumanne tarehe 22 September 2015 na kusafirishwa kwenda Dar es Salaam Alhamisi, tarehe 24...
Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa na watanzania waishio Athens, Ugiriki siku ya jumanne tarehe 22 September 2015 na kusafirishwa kwenda Dar es Salaam Alhamisi, tarehe 24...
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Ugiriki yaombwa kusema, 'La'
Waziri Mkuu Alexis Tsipras amesisitiza kukataa masharti ya wakopeshaji siyo kuondoka EU.
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Mihadhara ya 'La' na 'Ndio' Ugiriki
Kila mrengo uko mbioni kushawishi wafuasi wake kuhakikisha ushindi kwenye kura ya Jumapili
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania