UGOMVI XXL HAUKUWA HALISIA
![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGahsFOt3DIb3I2OKaTWDqBlln0eCjiLEqrKQ4VYZ5aHUhkVTp610Wgj3p5F5pa0AI7mY37oW8andFgwJ5biHjWF/XXL.jpg)
Watangazaji wa Kipindi cha XXL kinachoruka Clouds FM kuanzia saa 7 mchana hadi saa 10 jioni, Adam Mchomvu (kushoto), Hamis Mandi 'B12' (katikati) na Dj Fetty. WATANGAZAJI wa Clouds FM wameweka wazi kuhusu tukio lililotokea juzi (Jumatano), Julai 2 mwaka huu wakati wa kipindi cha XXL likiwahusisha watangazaji B12, Adam Mchomvu na Fetty kudaiwa kupigana studio lilikuwa la kutengenezwa ili kupaza sauti na kufikisha ujumbe wa amani....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM04 Jul
TAARIFA KAMILI KUHUSU UGOMVI WA WATANGAZAJI WA XXL, DJ FETTY,MCHOMVU NA B DOZEN
Mara nyingi huko mitaani watu hugombana katika familia,huenda baba akampiga mama hadi kumjeruhi vibaya na pengine hata kumsababisha ,na inawezekana mama huyo alikuwa akipiga makelele ya kuomba msaada na pengine watu walisikia na hawakutoa msaada,Ugomvi uliotokea siku ya Jumatano kwenye XXL Clouds Fm Radio kati ya watangazaji wa kipindi hiki halikuwa tukio la uhalisia kuhamsisha amani katika kampeni ya kuhamasisha Amani,kwa chochote utakachokiona na kuhatarisha amani toa taarifa kwenye vyombo...
11 years ago
Habarileo13 Apr
‘Muungano haukuwa uamuzi wa Nyerere,Karume’
BUNGE Maalumu la Katiba limeelezwa kuwa si kweli kwamba muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania, haukuwa na ridhaa ya wananchi kama inavyodaiwa na baadhi ya watu. Badala yake, Bunge hilo limeelezwa kwamba ukweli ni kwamba viongozi wa kitaifa wa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Amaan Karume, walipata ridhaa ya wananchi kwa utaratibu uliofaa kwa wakati ule, kabla ya kufikia maridhiano wao wawili.
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Dude: Mwaka 2014 Haukuwa wa Bahati Kwangu
Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka, mwigizaji wa filamu , Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa mwaka 2014 ulikuwa hauna bahati (gundu) hivyo anamuomba Mungu huo ujao uwe wa baraka kwake.
Akipiga stori na GPL, Dude alisema ndani ya mwaka huu hakuweza kufanikisha lengo lolote kati ya yale aliyojiwekea ikiwa ni pamoja na kufunga ndoa jambo ambalo linamuumiza kwani alitegemea kufanya mambo mengi lakini hakufanikisha.
“Nilitegemea kufunga ndoa lakini imeshindikana kwa sababu upande wa kazi...
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Uamuzi wa Yanga kujitoa Mapinduzi haukuwa wa busara
9 years ago
Raia Mwema16 Dec
“Donald Trump†wa Tanzania haukuwa uteuzi wa busara
RAIS John Magufuli ameitimiza ahadi yake kwa kuchagua baraza dogo la mawaziri likilinganishwa na
Ahmed Rajab
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632pwkVi6TSMQCZ2jl0zfn4HqIidRQVIrPWAx7IbTcUgQAjTiVbzaW4-pyD5wQufu6smyRvzOK-aQZM3UHQfmwtVw/XXL.jpg?width=650)
KILICHOTOKEA KWENYE XXL YA CLOUDS FM JUNE 02, 2014
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ly3bRK1rGGA/U6vrmyTPq3I/AAAAAAAA8eQ/dnCYXP6j0mw/s72-c/IMG_0011.jpg)
UZINDUZI WA FILAMU YA 'I LOVE MWANZA' HAUKUWA WA KISIASA - BONGO MOVIE
![](http://3.bp.blogspot.com/-ly3bRK1rGGA/U6vrmyTPq3I/AAAAAAAA8eQ/dnCYXP6j0mw/s1600/IMG_0011.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ykZ31IURyGA/U6vrnDdoC1I/AAAAAAAA8eU/Nx_qTqkP8-8/s1600/IMG_0083.jpg)
10 years ago
CloudsFM11 Dec
MSHINDI WA BBA IDRISS SULTAN AKIWA LIVE KWENYE XXL
Mshindi wa shindano la Big Brother Africa''BBA'',Idriss Sultan akisalimia na mtangazaji wa kipindi cha xxl cha Clouds Fm,B Dozen wakati akizungumzia ushindi wake.
Idriss akiwa na msanii John Makini...PICHA ZAIDI ZINAKUJA..