Ugonjwa wa Mama Diamond ni siri
![](http://3.bp.blogspot.com/-bNDqAHsCfzM/VNzfG0NFI6I/AAAAAAADYAI/4QTVjA8GWFE/s72-c/mamanadiamond.jpg)
Akizungumza na Mwanaspoti meneja huyo Hamis Taletale maarufu Babu Tale alisema hiyo ni siri ya familia na hawawezi kutoa majibu kuhusu lolote linaloendelea.
SIKU chache baada ya mama wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Sanura Kassim kuripotiwa kuwa amelazwa nchini India kwa ajili ya matibabu, meneja wa mwanamuziki huyo amesema hiyo itaendelea kuwa siri ya familia.Akizungumza na Mwanaspoti meneja huyo Hamis Taletale maarufu Babu Tale alisema hiyo ni siri ya familia na hawawezi kutoa majibu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 May
Serikali ilifanya siri ugonjwa wa dengue
10 years ago
Mwananchi27 Feb
‘Warts’ ugonjwa unaoathiri sehemu za siri za wanaume, wanawake
9 years ago
Bongo504 Sep
Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz
10 years ago
Dewji Blog05 Dec
Jitihada elekezi siri ya ushindi wa vita dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi katika kipindi cha mlipuko wa ebola
Tarehe 1 Desemba kila mwaka watu wote duniani huazimisha Siku ya Ukimwi Duniani, siku ambayo ilianzishwa mnamo mwaka 1987 na ambayo hubeba maudhui mbali mbali ikiwa kwa mwaka huu ikibeba maudhui ya Focus, Partner, Achieve: An AIDS-free Generation yaani Elekeza, Jiunge na Pata: Kizazi kisicho na Ukimwi. Ujumbe unaokumbusha jamii kuwa ugonjwa wa Ukimwi kuwa bado ni tatizo linalohitaji jitihada endelevu na elekezi hata katika wakati wa milipuko ya magonjwa mengine katika jamii. Siku ambayo...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s72-c/meninah.jpg)
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s640/meninah.jpg)
9 years ago
BBCSwahili22 Oct
Mama anayenusa ugonjwa wa kutetemeka 'Parkinson'
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5W1fGMD3XQRm6390CuTcZ01doX*ibKWP3a5p*INtmhDgIvxvz*NQZRlKiTHBb9Efc2fEqbxWn6rcBY7ceD2HDEN-oae2FbmB/6.jpg?width=650)
MAMA ANAWA MIKONO UGONJWA WA BANZA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-B-vYNAXDRBE/XsPbEVs_YZI/AAAAAAALqx4/XmErY8qf3EsRUvMNcWemdSk7k7INTDwuQCLcBGAsYHQ/s72-c/4683081f-6db8-4bc1-b50f-7fbde2135619.jpg)
SIRI YA VIJORA VYA MAMA CHOGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-B-vYNAXDRBE/XsPbEVs_YZI/AAAAAAALqx4/XmErY8qf3EsRUvMNcWemdSk7k7INTDwuQCLcBGAsYHQ/s400/4683081f-6db8-4bc1-b50f-7fbde2135619.jpg)
MSANII anayekimbiza kwenye tasnia ya uchekeshaji nchini, Abdallah Sultan a.k.a Dulvan amezindua rasmi shindano la "Asante fans".
Dullvan amesema kuwa kutokana na kupokelewa kwake vizuri na mashabiki zake ameamua kurudisha fadhila kwa mashabiki zake kupitia shindano hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa vigezo vya kushiriki kwenye shindano hilo ni kumfwatilia kwenye mitandao yake ya kijamii kwa njia ya kuchangia ujumbe mfupi na kuwatag watu...