Uhaba wa madaktari Vijijini, AJUCO Songea kuanzisha Chuo.
Na Adam Nindi,
Songea.
Chuo Kikuu Kishiriki cha Mtakatifu Agustino AJUCO kilichopo Peramiho Songea Vijijini mkoani Ruvuma kimedhamiria kuondoa changamoto ya kukosa madaktari vijijini kwa kuanzisha Chuo cha Udaktari ambacho wahitimu wake watafanya kazi vijijini.
Mkuu wa Chuo hicho Padri Faustine Kamugisha amesema asilimia 80 ya watanzania wanaoishi vijijini hawana madaktari wakati asilimia 35 ya wananchi wanaoishi mijini ndio wanapata huduma za Madaktari.
Padri Kamugisha amesema Baraza...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Dec
Mzee Mwinyi aguswa uhaba wa madaktari
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ameelezea kuguswa na tatizo la uhaba mkubwa wa wataalamu katika fani ya udaktari hasa vijijini, hali aliyosema inachangia kuwapo kwa changamoto kubwa katika utoaji wa huduma katika sekta ya afya.
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Tanzania yakabiliwa uhaba wa madaktari wa vichwa vikubwa
TANZANIA inakabiliwa na upungufu wa wataalam wa upasuaji kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ambapo kwa sasa ina madaktari watano ambao wanazunguka katika hospitali za rufaa nchini kutibu....
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Serikali ya ACT-Wazalendo kuanzisha wakala wa maji vijijini
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-vWAqyhpZctA/Uu8w2tKnW7I/AAAAAAAA_6g/8Qjofe7BzTM/s1600/TA1A1683.jpg)
ZANZIBAR KUANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI KWA WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA BAREFOOT CHA INDIA
9 years ago
Bongo524 Aug
Super Nyamwela kuanzisha chuo cha dansi
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
UDA kuanzisha chuo cha madereva, makondakta
SEKTA ya usafirishaji nchini inatarajiwa kuingia katika mfumo mpya wa kisasa ambako madereva, makondakta pamoja na wahudumu wengine katika sekta hiyo kusomea fani hizo kabla ya kuingia katika ajira rasmi...
10 years ago
Habarileo08 Dec
Chuo Kikuu cha St. John’s kuanzisha mfuko wa Ufadhili
CHUO Kikuu cha St. John’s cha mjini hapa kitaanzisha mfuko wa ufadhili wa wanafunzi kwa ajili ya kusaidia sehemu ya gharama kwa wanafunzi wenye sifa wasio na uwezo wa kujilipia ada na wasiopata fedha za Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu.
10 years ago
Dewji Blog27 Jul
Madaktari wa Marekani wawafunda wanachuo wa Chuo Afya Zanzibar
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar Ndg. Adila Hilal Vuai, akiutambulisha Ujumbe wa Madaktari Diaspora kutoka Washington walioletwa na Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Washington wakali walipofika katika Chuo cha Elimu ya Afya Zanzibar walipofika hapo kutowa Elimu ya Afya ya Saratani ya Matiti na Mano, wakiwa Zanzibar kwa uwenyeji wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).
Rais wa Jumuiya ya Watanzania Washinton Ndg....
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-d437U_lDN_k/VcXBF6n2omI/AAAAAAAHvWs/KkU3tzw2Rf0/s72-c/images.jpeg)
CHUO CHA UONGOZI WA FEDHA ZANZIBAR KUANZISHA MASOMO YA CHETI PEMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-d437U_lDN_k/VcXBF6n2omI/AAAAAAAHvWs/KkU3tzw2Rf0/s320/images.jpeg)
CHUO cha Uongozi wa Fedha Zanzibar (ZIFA) kitaanzisha Tawi lake Kisiwani Pemba kuanzia mwaka huu wa masomo na kitaanza kufundisha masomo ya uongozi wa fedha ngazi ya cheti.
Akizungumza na waandishi wa Habari Makao Makauu ya ZIFA Chwaka, Kaimu Mkuu wa Taaluma Dkt. Iddi Salum Haji amesema wameamua kufungua Tawi Pemba ili kuzipunguzia gharama familia zenye kipato cha chini.
Amesema utafiti uliofanywa na Chuo umegundua kuna vijana wengi Kisiwani Pemba waliomaliza...