Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujangili nchini umetuvua nguo mbele ya dunia

Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba jina la Tanzania kwa muda mrefu sasa limetawala vichwa vya habari katika vyombo vingi vya habari duniani kutokana na Serikali kushindwa kukomesha vitendo vya ujangili dhidi ya wanyamapori walio katika hatari ya kutoweka, wakiwamo tembo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Rushwa inazidi kutudhalilisha mbele ya dunia

Hatua iliyokuwa imechukuliwa hivi karibuni na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Milenia (MCC) ya Marekani kuzuia msaada wa Dola 472 milioni kwa Tanzania kwa maelezo kwamba nchi yetu imeshindwa kuchukua hatua za kuridhisha kupambana na rushwa, bila shaka itakuwa iliwasononesha na kuwaghadhibisha wananchi wengi kutokana na aibu ya Tanzania kuonekana mbele ya jumuiya ya kimataifa kama moja ya nchi vinara wa rushwa duniani.

 

10 years ago

Michuzi

WWF KUPAMBANA NA UJANGILI NCHINI

Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojihusisha na uhifadhi wa mazingira na wanyama pori la World Wide Fund for Nature (WWF), limejiunga katika jitihada za kitaifa na kimaifa za kupambana na ujangili nchini ambapo pamoja na mambo mengine limetoa mabango yanayotahadharisha wananchi na wageni waingiao na watokao Tanzania kutojihusisha na shughuli yoyote inayohusiana na ujangili wa wanyama.
Akikabidhi vifaa hivyo Novemba 27, 2014 jijini Dar es Salaam kwa Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mantra kushiriki vita ya ujangili nchini

 Kampuni ya Mantra Tanzania na Idara ya Wanyamapori ya Wizara ya Maliasili na Utalii (Wildlife Division) zimesaini mkataba wa makubaliano ambao umelenga pande mbili kushirikiana katika kupiga vita ujangili wa tembo katika eneo la Kusini mwa Hifadhi ya Wanyamapori ya Selous.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu: Ujangili nchini hali mbaya

WAKATI juhudi zikifanyika kupambana na ujangili nchini, Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema hali ni mbaya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kasi hii ya ujangili nchini idhibitiwe

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea kuwa baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari zilizopo kando kado ya hifadhi na mapori ya akiba Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wameacha masomo na kushiriki ujangili wa wanyamapori kwa ajili ya kujipatia kipato.

 

11 years ago

Michuzi

Mabingwa watetezi kombe la Dunia Spain Mbendembende mbele ya Holland, yachapwa 5-1


Na Sultani Kipingo 
wa Globu ya Jamii
Siku ya tatu tu tokea michuano ya kombe la Dunia ianze nchini Brazil, tayari mabingwa watetezi Spain wanakuta kombe hilo linateleza mikononi mwao.  Japokuwa miaka minne iliyopita walipoteza mchezo wao kwa kwanza dhidi ya Switzerland huko Afrika ya Kusini, lakini hiyo haiwezi kulinganishwa na kilichotokea uwanja wa Fonte Nova katika mji wa Salvador ulio Kaskazini-Mashariki ya Brazil usiku wa kuamkia leo baada ya kuchwapwa bao 5-1 na Holland.

Hilo ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

WWF watoa mabango ya kukabili ujangili nchini

001

Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wa jijini Dar es salaam, Bw. Moses Malaki (kulia), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati wa hafla ya kukabidhiwa mabango yanayotahadharisha wananchi na wageni waingiao na watokao Tanzania kutojihusisha na shughuli yoyote inayohusiana na ujangili wa wanyama (kushoto), Mkurugenzi wa WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).

Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojihusisha na...

 

11 years ago

Mwananchi

Alichosema waziri wa Uingereza kuhusu ujangili nchini

Tunakabiliwa na janga. Faru wanauawa na maharamia kila baada ya dakika 10 na ni wachache kuliko chui 3,500 ambao wamebaki porini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani