Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rushwa inazidi kutudhalilisha mbele ya dunia

Hatua iliyokuwa imechukuliwa hivi karibuni na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Milenia (MCC) ya Marekani kuzuia msaada wa Dola 472 milioni kwa Tanzania kwa maelezo kwamba nchi yetu imeshindwa kuchukua hatua za kuridhisha kupambana na rushwa, bila shaka itakuwa iliwasononesha na kuwaghadhibisha wananchi wengi kutokana na aibu ya Tanzania kuonekana mbele ya jumuiya ya kimataifa kama moja ya nchi vinara wa rushwa duniani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mikutano ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa inazidi kupamba moto -Lima

IMG_4236

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile wa pili kutoka kulia (kwa nafasi ya uwaziri na Ugavana wa Benki ya Dunia) akiwa kwenye picha ya pamoja ya Mawaziri wa Fedha wa  nchi  20 wanachama ( V20 – Vulnerable Twenty) watakao asirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi (climate change).Mawaziri hao wanatoka nchini Afghanistan, Bangladesh, Barbados, Bhutan, Costa Rica, Ethiopia, Ghana, Kenya, Kiribati, Madagascar, Maldives, Nepal, Philippines, Rwanda, Saint...

 

11 years ago

Mwananchi

Ujangili nchini umetuvua nguo mbele ya dunia

Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba jina la Tanzania kwa muda mrefu sasa limetawala vichwa vya habari katika vyombo vingi vya habari duniani kutokana na Serikali kushindwa kukomesha vitendo vya ujangili dhidi ya wanyamapori walio katika hatari ya kutoweka, wakiwamo tembo.

 

10 years ago

Habarileo

Shahidi kesi ya rushwa ya Hakimu afariki dunia

UPANDE wa mashitaka kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), wameithibitishia Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba aliyetakiwa kuwa shahidi wa pili katika kesi ya rushwa ya Sh 50,000 inayomkabili Hakimu Grace Kivegele na Karani wake, Rose Kuhima wa Mahakama ya Mwanzo Buruguri, amefariki dunia.

 

11 years ago

Michuzi

Mabingwa watetezi kombe la Dunia Spain Mbendembende mbele ya Holland, yachapwa 5-1


Na Sultani Kipingo 
wa Globu ya Jamii
Siku ya tatu tu tokea michuano ya kombe la Dunia ianze nchini Brazil, tayari mabingwa watetezi Spain wanakuta kombe hilo linateleza mikononi mwao.  Japokuwa miaka minne iliyopita walipoteza mchezo wao kwa kwanza dhidi ya Switzerland huko Afrika ya Kusini, lakini hiyo haiwezi kulinganishwa na kilichotokea uwanja wa Fonte Nova katika mji wa Salvador ulio Kaskazini-Mashariki ya Brazil usiku wa kuamkia leo baada ya kuchwapwa bao 5-1 na Holland.

Hilo ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Sri Mulyani: Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anayesifika kwa kupinga rushwa

Alipoteuliwa kwa mara ya kwanza kuwa Waziri wa Fedha wa Indonesia mwaka 2005, mwanamama Sri Mulyani Indrawati alikuwa na ujumbe mmoja tu kwa wafanyakazi wake.

 

10 years ago

Vijimambo

USHAHIDI WA RUSHWA WALIYO TOA SOUTH AFRICA NA KUPEWA NAFASI YA KUANDAA KOMBE LA DUNIA 2010


Kwa takribani wiki mbili sasa neno ‘rushwa’ limekuwa likiliandama sana shirikisho la soka duniani FIFA.Wiki iliyopita maafisa 10 wa shirikisho hilo walikamatwa na serikali ya Marekani kwa kujihusisha na skendo ya ubadhirifu wa £100m, jambo ambalo lilipelekea wadau mbalimbali kumuomba Rais wa shirikisho hilo Sepp Blatter kujiuzulu. Jerome Valcke
Jerome Valcke Hata hivyo Blatter amegoma kufanya hivyo, lakini ikiwa suala la ubadhirifu wa £100m likiwa bado la moto, leo hii umetolewa ushahidi...

 

10 years ago

Mwananchi

Nguvu ya sanaa inazidi msanii

Kama kuna eneo linaloweza kufukisha ujumbe kwa urahisi kwenye jamii, basi ni sanaa. Kwani kwa kupitia viunga vyake ujumbe hupenya kwa haraka zaidi kufika kule ulikokusudiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kulikoni Serikali inazidi kubwagwa mahakamani?

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Serikali, Jaji Mark Bomani hivi karibuni alitoa ushauri ambao iwapo utazingatiwa na Serikali utaiepusha na aibu inayoipata kila kukicha ya kupoteza kesi nyingi katika mahakama zetu hapa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani