Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujenzi daraja la Mzinga kitendawili

DARAJA la Mto Mzinga eneo la Kivule, Dar es Salaam, huenda likashindwa kukamilika hivi karibuni kutokana na kukosekana kwa fedha zilizopangwa kulikamilisha. Hayo yalibainika mwishoni mwa wiki jijini Dar es...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA UJENZI KUJENGA DARAJA JIPYA LITAKALOPITA BAHARINI PEMBEZONI MWA DARAJA SELANDER

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameusifu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni

Mafundi wa Kampuni ya ujenzi wa daraja la Kigamboni wakisuka nondo katika moja ya nguzo zitakazoshika daraja hilo




Meneja wa Mradi wa ujenzi wa daraja la Kigambonio Bw. Lin Tao kutoka kampuni ya China Railway Construction Engineering Group and Major Bridge Co. Ltd (CRCEG-MBEC JV) akionesha jinsi ambavyo daraja la kigamboni litakavyoonekana baada ya kukamilika. Kulia kwake ni Mratibu wa Mradi kutoka Wizara ya Miundombini Bw. Hussein Mativila. Daraja hilo kutoka Kurasini mpaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi daraja la Selander mwakani

>Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema hatua ya awali ya mchakato wa ujenzi wa Daraja la Selander unaendelea vizuri na muda wowote kuanzia mwakani litaanza kujengwa.

 

11 years ago

Michuzi

Taswira ya ujenzi wa daraja la kigamboni

Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni katika mkondo wa Kurasini (Kurasini Creek) ulioanza mwaka juzi na kutegemewa kukamilika baadaye mwaka huu. Mradi huu wa daraja la kuning'inia, uliobuniwa na kampuni ya Arab Consulting Engineers na kujengwa na wakandarasi kampuni za China Railway Jiangchang Engineering (T) Ltd na China Major Bridge Engineering Company , unamilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)  kwa asilimia 60 na Serikali asilimia 40, kwa gharama ya dola 136 za...

 

10 years ago

Mwananchi

JK azindua ujenzi Daraja la Kilombero

Rais Jakaya Kikwete amezindua miradi miwili mikubwa ya kiuchumi na kijamii katika Wilaya za Ulanga na Kilombero, ukiwamo ujenzi wa Daraja la Mto Kilombero.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waomba ujenzi wa daraja uharakishwe

WATUMIAJI wa barabara ya Mwenge-Bagamoyo, wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa daraja lililopo Mbezi Beach kwa John Komba, ili kupunguza msongamano wa magari katika eneo hilo. Rai hiyo ilitolewa jijini Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wakazi Mabibo fuatilieni ujenzi wa daraja’

WAKAZI wa Mabibo Farasi, wilayani Kinondoni, Dar es Salaam,  wametakiwa kufuatilia kwa karibu ujenzi wa daraja unaotarajiwa kuanza hivi karibuni katika eneo hilo ili kuepuka uwezekano wa kujengwa chini ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani