Ujenzi sekondari Sokon wahitaji sh milioni 450
SHILINGI milioni 450 zinahitajika kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa shule ya Sekondari ya Sokon 11 wilayani Arumeru mkoani Arusha. Aidha, shule hiyo ambayo ilianza kujengwa mwaka 2010, ilipangwa kutumia...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Milioni 40 zachangwa kwa ujenzi wa maabara ya sekondari
Mwenyekiti wa klabu ya Gymkhana Dioniz Malinzi akipiga mpira wakati wa ufunguzi wa mchezo wa gofu kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maktaba na vifaa vya kompyuta vya Shule ya Sekondari ya Mtakuja.
Na Beatrice Lyimo- Maelezo
Bahari Rotary Klabu ikishirikiana na HANSA GROUP wamefanya harambee ya tano kwa ajili ya kuchangia Shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Harambee hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana kwa kuwa shindanisha washiriki kucheza mchezo wa...
10 years ago
Michuzi
MILIONI 40 ZACHANGISHWA KWA UJENZI WA MAABARA YA SHULE YA SEKONDARI

Na Beatrice Lyimo- Maelezo
Bahari Rotary Klabu ikishirikiana na HANSA GROUP wamefanya harambee ya tano kwa ajili ya kuchangia Shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Harambee hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana kwa kuwa shindanisha washiriki kucheza...
11 years ago
MichuziMBATIA ACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA BWENI SHULE YA SEKONDARI PAKULA ILIYOPO JIMBO LA VUNJO.
10 years ago
Michuzi19 Apr
BENKI YA CBA YAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI 5 KWAAJILI YA UJENZI WA HOSTELI YA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KIFARU MWANGA

10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Benki ya CBA yakabidhi hundi ya shilingi milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa hosteli ya wasichana shule ya Sekondari Kifaru Mwanga
Meneja masoko wa benki ya CBA Tanzania, Solomon Kawishe (kushoto), Meneja masoko Moshi Eliud Marko (katikati) wakimkabidhi Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Kifaru, Abdallah Mwomboke iliyopo katika kijiji cha Kituri kata ya Kileo wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro hundi ya shilingi Milioni tano yenye thamani ya zaidi ya mifuko 300 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Hosteli ya wasichana katika shule hiyo, msaada huo ni sehemu ya kamapeni ya Book by Book inayoendeshwa na benki ya CBA...
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Ugiriki kulipa deni la dola milioni 450
11 years ago
Michuzi
LUGUMI ENTERPRISES LTD YAKABIDHI PAMPU YA MAJI NA SHILINGI MILIONI 10 KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU MAGU SEKONDARI MAGU.


10 years ago
Mwananchi12 Dec
Marekani yacharuka escrow;Tanzania yakosa mabilioni ya MCC, ni Dola 450 milioni
10 years ago
GPL
MBUNGE FILIKUNJOME ATIMIZA PIA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA KWA TSH MILIONI 248, ASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KWA TSH MILIONI 248