Ujerumani yashinda, Ugiriki hoi
Timu ya taifa ya Ujerumani imepanda hadi kileleni mwa msimamo wa kundi D katika michuano ya kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya barani Ulaya mwaka 2016 baada ya kuichabanga Poland magoli 3 - 1.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Ni shangwe na hoi hoi Ujerumani
Maelfu ya mashabiki wa soka nchini Ujerumani wamekusanyika tangu asubuhi mjini Berlin kuwakaribisha wachezaji wa timu ya taifa ya soka ambayo ilishinda kombe la dunia Brazil.
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Bayern yashinda,Barcelona hoi UEFA
Kitimtim cha klabu bingwa barani Ulaya kiliendelea usiku wa kuamkia leo huku zikishuhudiwa nyasi za viwanja kadhaa zikiwaka moto
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Ujerumani kuridhia kuinusuru Ugiriki?
Wabunge nchini Ujerumani wanatarajiwa kupiga kura kuridhia au kukataa kuiongezea muda zaidi Ugiriki kuipa msaada wa fedha
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Ugiriki na Ujerumani wajadili madeni yao
Viongozi wa Ujerumani na Ugiriki wamekutana mjini Berlin kwa mara ya kwanza kutokana na mzigo wa madeni unaozikabili nchi hizo.
10 years ago
VijimamboNSSF Yashinda Bonanza la Pasaka Zanzibar Mpira wa Miguu Netiboli Yashinda ZSSF
9 years ago
Bongo514 Nov
New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi
![12237221_1669908713222926_427056748_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12237221_1669908713222926_427056748_n-300x194.jpg)
Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
Marekebisho ya Ugiriki 'yatafeli'
Harakati za kulikwamua taifa la Ugiriki katika madeni yake zimekosolewa na mawaziri ambao wamefutwa kazi kwa kupinga mpango huo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRkTTElhzQL4qGAQtmLT6y8B8SoV5E0wGOv*K7wPhONvxDGzu*Qh8ysYifrfNQr8FUKSqwAbsNAI-RxieIZA0gKR/colombia.jpg)
COLOMBIA YAICHACHAFYA UGIRIKI
Colombia wakishangilia bao la kwanza. Teofilo Gutierrez akiifungia bao la pili Colombia katika dakika ya 58. TIMU ya taifa ya Colombia imeishushia kichapo cha bao 3-0 Ugiriki katika mechi yao ya kundi C kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Wafungaji wa Colombia ni: Pablo Armero 5, Teofilo Gutierrez 58 na James Rodriguez 90. VIKOSI:
Colombia:… ...
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Mihadhara ya 'La' na 'Ndio' Ugiriki
Kila mrengo uko mbioni kushawishi wafuasi wake kuhakikisha ushindi kwenye kura ya Jumapili
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania