Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJUE UNDANI WA MEZ B

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva aliyekuwa akiwika na kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ amefariki dunia asubuhi ya leo majira ya saa 4:30 mjini Dodoma.Hii imekuwa ni pigo la pili kwa kundi la Chamber Squad kupoteza memba wake baada ya awali kumpoteza Albert Mangweha ‘Ngwear’.Katika makala haya yanauelezea undani wa Mez B mpaka kufikia umauti. Mez B akiwa katika moja ya mahojiano na kituo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

UJUE UNDANI WA BIASHARA YA MNADANI!

NI Jumatatu nyingine tena napenda kukukaribisha katika safu hii maalum ya Ujasiriamali. Wiki iliyopita tulizungumzia namna ya kuanzisha biashara ya genge hivyo kuwaamsha walioamini kuwa hawawezi, leo nitazungumza nanyi wasomaji wangu kuhusu biashara ya kuzunguka minadani. MNADA NI NINI? Hii ni sehemu maalum iliyotengwa na sekta husika, wananchi au wanakijiji wa sehemu husika kwa ajili ya wafanyabiashara wa bidhaa tofauti na...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Ujue ugonjwa wa figo

Magonjwa ya figo Figo hufanya kazi muhimu mwilini ambazo ni:- • Kudhibiti na kuhifadhi virutubishi na maji na kuondoa mabaki kupitia mkojo. • Kuchuja damu ili kuondoa mabaki ambayo ni sumu mwilini. Baadhi ya mabaki hayo ni urea, uric acid, creatinine na ammonia. • Kudhibiti viwango vya electrolyte mwilini, yaani Sodium (Na+ ) na Potassium (K+). Sodium husaidia kudhibiti wingi wa maji mwilini na pia huwezesha mawasiliano kati ya mfumo wa fahamu na misuli (enhances commucacation between...

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

GPL

AIBUKA NA MIMBA MEZ B

Richard Bukos/Mchanganyiko
MSANII wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali’ amefunguka kuwa kifo cha staa wa Bongo Fleva, Moses Mshagama ‘Mez B’ ni pigo kubwa sana kwake kwani marehemu alikuwa ni mpenzi wake na alikuwa na mimba yake. Msanii wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali’. Akizungumza na gazeti hili huku akionesha sura ya masikitiko, Queen Magali alisema...

 

10 years ago

GPL

MAAJABU MAZIKO YA MEZ B

MUSA MATEJA/Amani MAAJABU yanadaiwa kujitokeza kwenye maziko ya aliyekuwa staa wa Bongo Fleva kutoka Kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’, ambapo jeneza lililobeba mwili wake lilidaiwa kugoma kuingia kaburini huku Wana-chamber wenzake, Haji Malick ‘Noorah’ na Athumani Kabongo ‘Dark Master’ wakiwa hoi baada ya kuishiwa nguvu na kusababisha watu wataharuki na wengine kuingiza imani...

 

10 years ago

CloudsFM

Mez B afariki Dunia

Msanii wa Bongo Fleva,Mez B amefariki dunia muda mfupi uliopita huko mjini Dodoma - Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi! - Taarifa zaidi zitakujia kadri tutakavyozipokea!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mez B anusurika kuuawa

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Moses Bushamaga ‘Mez B’ usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita alinusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana maeneo ya Sinza Vatican jijini Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujue uhusiano wa Jeshi la Polisi na watetezi wa haki za binadamu

HIVI karibuni Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) ulifanya mkutano wa siku moja uliowakutanisha maofisa waandamizi 30 kutoka mikoa mbalimbali nchini. Mkutano huo ulilenga kutafuta mahusiano mazuri kati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani