MAAJABU MAZIKO YA MEZ B
![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9wMVvq-hW*3IX2TKn0DKc1usZps3K4VuXUk8Zos3Di3pGFC6GsQ5rzfZL*8cyOG7wT1ge8JwMNIh7BD2uu1DB6A/mezb.jpg)
MUSA MATEJA/Amani MAAJABU yanadaiwa kujitokeza kwenye maziko ya aliyekuwa staa wa Bongo Fleva kutoka Kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’, ambapo jeneza lililobeba mwili wake lilidaiwa kugoma kuingia kaburini huku Wana-chamber wenzake, Haji Malick ‘Noorah’ na Athumani Kabongo ‘Dark Master’ wakiwa hoi baada ya kuishiwa nguvu na kusababisha watu wataharuki na wengine kuingiza imani...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM23 Feb
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cGEsfZahF3vq4jAsXCL4wzHUSvhj5X9NJkNaVenOWlxuAjdWlcu*dNxWX5h5IckSmvCx7SeKEyGFm0eXbxGos0dB1cPohg4c/Untitled2.jpg)
UJUE UNDANI WA MEZ B
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Mez B afariki Dunia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vshXEK8U-iiAtNqmlMjTo5qkKVMRFPQbfZPA1zpfhSV6GaIuGa2G07UOtzDbXbFuZMRgVKYDwuobFRmZTXNvt5VBNrDwGhA6/MEZB.jpg)
AIBUKA NA MIMBA MEZ B
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Mez B anusurika kuuawa
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Moses Bushamaga ‘Mez B’ usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita alinusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana maeneo ya Sinza Vatican jijini Dar...
10 years ago
Mtanzania23 Feb
Mez B kuzikwa Dodoma leo
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MWILI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moses Bushagama ‘Mez B’, unatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya wahanga wa treni, Mailimbili mkoani hapa.
Mez B alifariki dunia Ijumaa ya wiki iliyopita, mjini hapa wakati akiwaishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akidaiwa kuugua ugonjwa wa Pneumonia.
Akizungumza na MTANZANIA jana mjini hapa, mama mzazi wa marehemu, Merry Katambi, alisema mwanaye atazikwa leo katika makaburi hayo ya wahanga wa treni.
Alisema...
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Mamia wajitokeza kumzika Mez B
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MAMIA ya mashabiki na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, jana walijitokeza kuupumzisha mwili wa msanii, Moses Bushangama ‘Mez B’, katika makaburi ya Wahanga wa Treni, Mailimbili mkoani hapa.
Akizungumza wakati wa kuuaga mwili huo, mama wa marehemu, Mchungaji Mary Katambi, aliwataka vijana kumrudia Mungu.
“Mwanangu aliuona uwepo wa Mungu, nilikuwa nikimsihi kuokoka na kumrudia Mungu na alikuwa akinijibu itafika wakati mimi wa yeye kufanya hivyo,” alisema...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2Z16k1LQ41b41nAWFG8eL9uun*l*eYlwRNy3X87iJuZzpeSesMBktS7n3uXBbqxFCyQmUAniDk9dUOSZykAdBPA/Amanda.jpg)
AMANDA AZIDIWA, ASHINDWA KUMZIKA MEZ B