AIBUKA NA MIMBA MEZ B

Richard Bukos/Mchanganyiko MSANII wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali’ amefunguka kuwa kifo cha staa wa Bongo Fleva, Moses Mshagama ‘Mez B’ ni pigo kubwa sana kwake kwani marehemu alikuwa ni mpenzi wake na alikuwa na mimba yake. Msanii wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali’. Akizungumza na gazeti hili huku akionesha sura ya masikitiko, Queen Magali alisema...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO

Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...
10 years ago
CloudsFM23 Feb
10 years ago
GPL
UJUE UNDANI WA MEZ B
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Mez B afariki Dunia
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Mez B anusurika kuuawa
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Moses Bushamaga ‘Mez B’ usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita alinusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana maeneo ya Sinza Vatican jijini Dar...
10 years ago
GPL
MAAJABU MAZIKO YA MEZ B
10 years ago
Mtanzania23 Feb
Mez B kuzikwa Dodoma leo
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MWILI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moses Bushagama ‘Mez B’, unatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya wahanga wa treni, Mailimbili mkoani hapa.
Mez B alifariki dunia Ijumaa ya wiki iliyopita, mjini hapa wakati akiwaishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akidaiwa kuugua ugonjwa wa Pneumonia.
Akizungumza na MTANZANIA jana mjini hapa, mama mzazi wa marehemu, Merry Katambi, alisema mwanaye atazikwa leo katika makaburi hayo ya wahanga wa treni.
Alisema...
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Mamia wajitokeza kumzika Mez B
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MAMIA ya mashabiki na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, jana walijitokeza kuupumzisha mwili wa msanii, Moses Bushangama ‘Mez B’, katika makaburi ya Wahanga wa Treni, Mailimbili mkoani hapa.
Akizungumza wakati wa kuuaga mwili huo, mama wa marehemu, Mchungaji Mary Katambi, aliwataka vijana kumrudia Mungu.
“Mwanangu aliuona uwepo wa Mungu, nilikuwa nikimsihi kuokoka na kumrudia Mungu na alikuwa akinijibu itafika wakati mimi wa yeye kufanya hivyo,” alisema...
10 years ago
GPL
MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA