Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujumbe mfupi wa simu kudhibiti nidhamu shuleni

Leo kila mtu analia na nidhamu ndogo ya wanafunzi. Wazazi nyumbani au waliopo kazini hawajui nini wanachofanya watoto wao shuleni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Walimu na udhibiti wa nidhamu shuleni

Katika muktadha wa shule, neno nidhamu linamaanisha hatua mwafaka anazochukua mwalimu dhidi ya mwanafunzi au kikundi cha wanafunzi pale anapobaini kuwa tabia za wanafunzi zinavuruga au kwenda kinyume na taratibu na sheria za shule au jamii kwa jumla.

 

11 years ago

BBCSwahili

CAR yabana ujumbe mfupi (SMS)

Maafisa wa utawala Katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wamebana matumizi ya ujumbe mfupi wa simu za mkononi baada ya kusema kuwa ni tisho kwa usalama wa nchi.

 

10 years ago

GPL

WATEJA 225,000 WA VODACOM WAJIUNGA NA HUDUMA YA UJUMBE MFUPI YA UZAZI SALAMA

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Seif Rashid (kushoto) akimsikiliza Ofisa Mkuu wa taasisi ya Udhibiti na Kinga ya Magonjwa ya CDC, Angela Makota (kulia) kwenye makabidhiano ya hundi ya Sh. Milioni  149 iliyotolewa na Vodacom Foundation kwa ajili ya kuunga mkono kampeni ya  kuboresha huduma ya afya na Uzazi na Mtoto inayojulikana kama Wazazi Nipendeni.Makabidhiano yalifanyika katika ofisi ya wizara hiyo jijini Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

Njaa shuleni, tunapeleka ujumbe gani kwa watoto?

Hoja yangu wiki iliyopita ni Serikali kutelekeza shule zake hadi inafikia hatua ya kukosa chakula na shule kufungwa ili watoto warudi nyumbani kukaa bila cha kufanya.

 

10 years ago

Mwananchi

Njaa shuleni, tunapeleka ujumbe gani kwa watoto wetu?

WIKI kadha zilizopita tulishuhudia watoto wetu wakikatishwa masomo na kurudishwa nyumbani kwa sababu ya kukosa chakula shuleni. Pia baadhi ya shule na vyuo mlo wao ulibadilishwa; wakalizimika kula chakula mara chache ya utaratibu uliozoeleka au kula chakula chenye viwango duni.

 

10 years ago

Vijimambo

MISWAADA KUDHIBITI MATUMIZI YA SIMU YAJA

26 March 2015.
Serikali ya Tanzania imesema mnamo mapema mwakani iyapeleka bungeni miswada mitatu ya sheria za usalama wa mtandao yenye lengo la kuongeza usalama wa matumizi ya huduma za kimtandao.Aidha, kumekuwa na jumla ya matukio ya makosa mbalimbali ya kimtandao yaliyoripotiwa Polisi kati ya 2012 hadi 2014, huku kesi 212 zenye watuhumiwa 132 zikifikishwa mahakamani.
Naibu Waziri wa Mawasilino,Sayansi na Teknolojia, January Makamba aliyasema hayo bungeni jana wakati akijibu swali la Mbunge...

 

10 years ago

Mwananchi

Wachina wameweza kudhibiti simu, sisi je?

Serikali ya China katika Jimbo la Shangai imeamua kutumia simu maalumu ambazo zina nywila (password) na uwezo wa kufuta taarifa zote endapo zitapotea au kutokea kitu chochote ambacho si cha kawaida.

 

10 years ago

Michuzi

Tumieni namba za simu kudhibiti uendeshaji holela - UDA


Miongoni mwa mabasi ya shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) yanayofanyakazi katika maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam. Na kila basi lina namba za simu ili kurahisisha abiria na watumiaji wa mabasi hayo kutoa maoni juu huduma zitolewazo na mabasi ya shirika hilo.

Abiria na watumiaji wengine wa barabara Dar es Salaam wameombwa kusaidia katika kudhibiti uendeshaji holela na tabia zisizokubalika zinazofanywa na baadhi ya madereva wa mabasi ya abiria na makondakta wa Dar es Salaam...

 

11 years ago

Mwananchi

Ujumbe katika simu na haki za wateja

Ni dhahiri wengi tumewahi kupokea ujumbe mfupi wa maneno (sms) bila wenyewe kutaka, halafu hapo hapo utaona kiasi fulani cha fedha kimeondoka kutokana na ujumbe huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani