Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachina wameweza kudhibiti simu, sisi je?

Serikali ya China katika Jimbo la Shangai imeamua kutumia simu maalumu ambazo zina nywila (password) na uwezo wa kufuta taarifa zote endapo zitapotea au kutokea kitu chochote ambacho si cha kawaida.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TEHAMA : Kama Kenya wameweza, sisi tunashindwaje?

Mwezi huu kulikuwa na habari kutoka Chuo Kikuu Jomo Kenyatta kuhusu uzinduzi wa kompyuta mpakato maarufu kama laptop inayoitwa TAIFA . Laptop hii imeundwa chuoni hapo na kupewa jina hilo huku pembeni ikiwa na bendera ya Kenya .

 

10 years ago

Vijimambo

MISWAADA KUDHIBITI MATUMIZI YA SIMU YAJA

26 March 2015.
Serikali ya Tanzania imesema mnamo mapema mwakani iyapeleka bungeni miswada mitatu ya sheria za usalama wa mtandao yenye lengo la kuongeza usalama wa matumizi ya huduma za kimtandao.Aidha, kumekuwa na jumla ya matukio ya makosa mbalimbali ya kimtandao yaliyoripotiwa Polisi kati ya 2012 hadi 2014, huku kesi 212 zenye watuhumiwa 132 zikifikishwa mahakamani.
Naibu Waziri wa Mawasilino,Sayansi na Teknolojia, January Makamba aliyasema hayo bungeni jana wakati akijibu swali la Mbunge...

 

10 years ago

Mwananchi

Ujumbe mfupi wa simu kudhibiti nidhamu shuleni

Leo kila mtu analia na nidhamu ndogo ya wanafunzi. Wazazi nyumbani au waliopo kazini hawajui nini wanachofanya watoto wao shuleni.

 

10 years ago

Michuzi

Tumieni namba za simu kudhibiti uendeshaji holela - UDA


Miongoni mwa mabasi ya shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) yanayofanyakazi katika maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam. Na kila basi lina namba za simu ili kurahisisha abiria na watumiaji wa mabasi hayo kutoa maoni juu huduma zitolewazo na mabasi ya shirika hilo.

Abiria na watumiaji wengine wa barabara Dar es Salaam wameombwa kusaidia katika kudhibiti uendeshaji holela na tabia zisizokubalika zinazofanywa na baadhi ya madereva wa mabasi ya abiria na makondakta wa Dar es Salaam...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA

  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phanton 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. Uzinduzi wa simu hiyo toleo jipya ukiendelea.

 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana  (kulia), akiwagawia zawadi ya simu hiyo baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali. Wanahabari wakipokea zawadi ya simu hiyo ya kisasa toleo...

 

11 years ago

Michuzi

msaada tutani: dada uliyepoteza simu JKT unatafutwa upewe simu yako

Nilimsaidia usafiri dada mmoja,siku ya ijumaa wiki jana, Dada huyo alikuwa anatokea maeneo ya Tuangoma kuelekea maeneo ya Keko.Nilimshusha JKT Mgulani. Bahati mbaya alisahau simu yake kwenye gari. Simu hiyo iliishiwa chaji muda mchache baada ya kuisahau kwenye gari langu. Mie nikaichukua na kuiweka  kwenye chaji kama masaa mawili hivi.  Nilipoiwasha nilikuta keshafunga kadi yake na sijaweza hata kutafuta namba za watu wanaomjua ili niwasiliane naye. Pia hata jina sikuwahi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Simu ya Tigo, Huawei wazindua simu ya watu wa hali ya chini jijini Dar

1

Meneja wa Vifaa vya Huawei,  Peter Zhang Nchini (kulia), akionesha aina ya simu ya Huawei Y 360 na Y 625 ambazo zina uwezo wa hali ya juu katika matumizi ya nyanja mbalimbali wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam katika uzinduzi wa simu hizo. Kushoto ni Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga.

2 (1)

Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga, akizungumza katika mkutano huo.

IMG_8227

Wanahabri kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa ya uzinduzi...

 

5 years ago

Michuzi

MAFUNDI SIMU KIZIMBANI KWA KUJIHUSISHA NA SIMU ZILIZOFUNGWA

Na Karama Kenyunko, globu ya jamiiFUNDI Simu, Said Msangi (30) na mfanyabiashara Abdul Nassoro( 36), wakazi wa jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa matatu likiwemo la  kujihusisha na simu zilizofungwa huku wakijua ni kinyume cha sheria.
Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao leo Machi 11, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustina Mmbando.
Akisoma hati ya mashtaka wakili wa Serikali Easter Martin amedai Februari 27, mwaka huu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani