Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukaguzi wa vyama vya hiari waanza rasmi


NA MWANDISHI WETU
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema inaendelea na ukaguzi wa vyama vya kijamii na kwamba vikibainika kukiuka matakwa ya kisheria,  vitafutwa.
Taarifa iliyotumwa na Msemaji wa Wizara hiyo, Isaac Nantanga, kwa  vyombo vya habari jana ilisema kutokana na orodha waliyo nayo, vyama 10,000 vya kijamii na taasisi za dini, vimesajiliwa katika wizara na kwama vitakavyofutwa ni vile ambavyo haviwasilishi taarifa za kila mwaka za ukaguzi wa hesabu zao.
Taarifa ilisema kama vyama...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Ukaguzi leseni na vyeti vya madereva waanza

Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohammed Mpinga

Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohammed Mpinga

ADAM MKWEPU NA CHRISANTA CHRISTIAN, DAR ES SALAAM

JESHI la Polisi jana limeanza kufanya ukaguzi wa leseni na vyeti vya madereva kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na nchi jirani Ubungo (UBT), jijini Dar es Salaam kufuatia ajali za barabarani nchini kuongezeka.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, alisema kuwa ukaguzi huo una lengo la kuchunguza madereva ambao...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK mgeni rasmi mkutano wa tatu wa Shirikisho la vyama vya wataalamu wa masuala ya chakula na lishe Afrika

01

Rais wa Chama cha Chakula na Lishe Tanzania (FONATA) Prof. Joyce Kinabo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam, kuhusu Mkutano wa tatu wa Shirikisho la Vyama  vya Wataalamu wa Masuala ya Chakula na Lishe Afrika ambao unalenga kutoa fursa kwa wanasansi wa masuala ya lishe ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Dkt....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Trafiki waanza ukaguzi wa magari mabovu

KIKOSI cha Usalama Barabarani Tanzania, kimeanza ukaguzi wa kuyaondoa magari mabovu, ili kupunguza ajali za barabarani. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Naibu Kamishna (DCP), Mohamed Mpinga, alisema hayi...

 

10 years ago

Habarileo

Wasira: Vyama vya upinzani nchini ni vyama vya matukio

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen WasiraWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen Wasira amewaambia wananchi wa Tarime katika kampeni za CCM kuhitimisha mikutano ya Serikali za Mitaa mwishoni mwa wiki kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya matukio.

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani