Trafiki waanza ukaguzi wa magari mabovu
KIKOSI cha Usalama Barabarani Tanzania, kimeanza ukaguzi wa kuyaondoa magari mabovu, ili kupunguza ajali za barabarani. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Naibu Kamishna (DCP), Mohamed Mpinga, alisema hayi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Trafiki agongwa akiongoza magari
11 years ago
Habarileo27 Jun
Trafiki marufuku kuvizia magari
SERIKALI imepiga marufuku tabia ya askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, kuvizia magari katika barabara kuu wakiwa na kifaa cha kupima mwendo kasi wa magari.
10 years ago
Habarileo15 Nov
Mgomo wa magari watikisa Bukoba, kisa rushwa trafiki
WAMILIKI wa magari yanayofanya ruti za Bukoba na wilaya nyingine na madereva, wameendelea kugoma wakishinikiza Serikali ikutane nao.
10 years ago
Uhuru Newspaper21 Apr
Ukaguzi wa vyama vya hiari waanza rasmi
NA MWANDISHI WETU
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema inaendelea na ukaguzi wa vyama vya kijamii na kwamba vikibainika kukiuka matakwa ya kisheria, vitafutwa.
Taarifa iliyotumwa na Msemaji wa Wizara hiyo, Isaac Nantanga, kwa vyombo vya habari jana ilisema kutokana na orodha waliyo nayo, vyama 10,000 vya kijamii na taasisi za dini, vimesajiliwa katika wizara na kwama vitakavyofutwa ni vile ambavyo haviwasilishi taarifa za kila mwaka za ukaguzi wa hesabu zao.
Taarifa ilisema kama vyama...
10 years ago
Mtanzania12 Sep
Ukaguzi leseni na vyeti vya madereva waanza
![Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohammed Mpinga](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Mohamed-Mpinga.jpg)
Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohammed Mpinga
ADAM MKWEPU NA CHRISANTA CHRISTIAN, DAR ES SALAAM
JESHI la Polisi jana limeanza kufanya ukaguzi wa leseni na vyeti vya madereva kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na nchi jirani Ubungo (UBT), jijini Dar es Salaam kufuatia ajali za barabarani nchini kuongezeka.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, alisema kuwa ukaguzi huo una lengo la kuchunguza madereva ambao...
10 years ago
Dewji Blog14 Mar
Petition ya Watanzania UK kupinga vikali utaratibu mpya wa ukaguzi magari
WATANZANIA NCHINI UINGEREZA/UK WANAPINGA VIKALI UTARATIBU MPYA WA UKAGUZI WA MAGARI KWA KUTUMIA KAMPUNI BINAFSI ISIYO NA UWEZO WALA VIWANGO KULINGANISHA NA UK STANDARD OF ROAD WORTHNESS (MOT)
-Viwango vya Kukidhi uhalali wa gari kuwa barabarani nchini Uingereza ni vya hali ya juu na havikwepeki kisheria.
-Ni Jambo la kujifunza nyumbani na kuliwekea uratibu wa kisheria kwa kila baada ya muda fulani gari lazima liwe linafanyiwa Road Worthiness test na siyo kuliwekea kampuni binafsi hapa UK...
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?
![](http://2.bp.blogspot.com/-dUXEP5ngMBY/VmvKAQeYLuI/AAAAAAABUYI/cJroCRIVUG4/s640/TRAFIKI%2BAJALI%2B%25285%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fWyZFEZucHg/U-sxP-7Rg2I/AAAAAAAF_IE/dQULh-NCqKI/s72-c/unnamed%2B(93).jpg)
Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari
![](http://2.bp.blogspot.com/-fWyZFEZucHg/U-sxP-7Rg2I/AAAAAAAF_IE/dQULh-NCqKI/s1600/unnamed%2B(93).jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Nov
Mayai mabovu yasambaa Dar !
Na Mwandishi wetu
AFYA za wakazi wa jiji la Dar es Salaam ziko hatarini kutokana na kula mayai ya kuku yaliyooza, ambayo yameingizwa kinyemela nchini na baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa ni wawekezaji.
Mtoa taarifa hii anasema mayai hayo yamekuwa yakisambazwa kwa wingi mitaani huku hatua stahiki hazichukuliwi .
Alisema kama Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi itashindwa kuwadhibiti wakezaji hao wasio waminifu wakaingiza mayai hayo kinyume na sharia basi serikali ijiandae kwa fedha nyingi...