Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mayai mabovu yasambaa Dar !

Egg-In-Tray

 Na Mwandishi wetu

AFYA za wakazi wa jiji la Dar es Salaam ziko hatarini kutokana na kula mayai ya kuku yaliyooza, ambayo yameingizwa kinyemela nchini na baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa ni wawekezaji.

Mtoa taarifa hii anasema mayai hayo yamekuwa yakisambazwa kwa wingi mitaani huku hatua stahiki hazichukuliwi .

 Alisema kama Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi itashindwa kuwadhibiti wakezaji hao wasio waminifu wakaingiza mayai hayo kinyume na sharia basi serikali ijiandae kwa fedha nyingi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Dar walishwa mayai mabovu

AFYA za wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ziko hatarini kutokana na kudaiwa kula mayai ya kuku mabovu ambayo yameingizwa nchini kinyemela na baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Homa ya MERS yasambaa Korea Kusini

Shirika la afya duniani linasema kuwa mlipuko wa homa ya Middle East Respiratory Syndrome au MERS nchini Korea Kusini ni mkubwa

 

10 years ago

Bongo5

Picha ya Diamond na Zari wakinyonyana ndimi yasambaa mtandaoni

Baada ya maneno kusemwa juu ya staa wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz na binti mrembo wa Uganda, Zari ‘the boss lady’ kuwa huenda wakawa na kitu kinaendelea zaidi ya kazi, picha ya wawili hao wakila ‘denda’ imesambaa mtandaoni. Zari The boss lady Picha ya Diamond Platnumz na Zari iliyosambaa mtandaoni, huku Zari akiwa amevaa kofia […]

 

11 years ago

Michuzi

Homa ya kidinga popo yasambaa Tanzania, mmoja athibitika kufariki

Mbu anayeambukiza kidinga popo
Nchini Tanzania watu 147 wamethibitika kuwambukizwa ugonjwa wa homa ya kidinga popo yaani homa ya dengu huku mtu mmoja akiripotiwa kufariki dunia kwa ugonjwa huo. Kasi ya ugonjwa huo ambao ikiwa hautadhibitiwa unaweza kuleta madhara dalili zake zinashabihiana na zile za malaria kwani unaambukizwa kwa kupitia mbu na unadaiwa kusambaa katika maeneo mengine nchini Tanzania ingawa kwa sasa uko zaidi mjini Dare salaam. Taarifa zinasema kuwa kuna visa vya...

 

10 years ago

Bongo5

Video ya mchezaji wa NFL akimpiga ngumi mkewe kwenye lifti hadi kuanguka na kuzimia yasambaa

Rais Barack Obama wa Marekani amemlaani vikali mchezaji wa timu ya football Baltimore Ravens, Ray Rice baada ya video inayoonesha akimpiga ngumi mchumbawa wak, Janay Palmer hadi kuanguka chini akizimia wakati wakibishana wakiwa kwenye lifti. Tukio hilo lilitokea huko Atlantic City mwezi February mwaka huu lakini video hiyo imewekwa na mtandao wa TMZ jana Jumatatu. […]

 

10 years ago

Bongo5

Breaking: Geez Mabovu afariki dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde zimedai kuwa rapper Geez Mabovu amefariki dunia leo mjini Iringa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo. Taarifa zaidi zinakuja. December 27 mwaka jana, hitmaker huyo wa Mtoto wa Kiume alizidiwa ghafla kabla ya show iliyokuwa ifanyike […]

 

11 years ago

Habarileo

Kiini cha majengo mabovu chatajwa

UKWEPAJI wa gharama za ujenzi wa nyumba, unadaiwa kuchangia kuwepo majengo yasiyo na ubora katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumo unachangia matokeo mabovu — Mhadhiri

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Bashiru Ally, amesema tatizo la elimu nchini haliko kwenye alama wanazopata wanafunzi bali mfumo uliopo. Bashiru alitoa kauli hiyo alipozungumza na Tanzania...

 

10 years ago

GPL

MWANAMUZIKI GEEZ MABOVU AFARIKI DUNIA

Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI wa Hip Hop nchini, Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' amefariki dunia jana usiku akiwa mkoani Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita akitokea jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bwana Dennis ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Geez Mabovu amethibitisha kuhusu kifo hicho na kusema rapa huyo aliondoka Dar kwenda Iringa akiwa kwenye hali ambayo sio nzuri kiafya. Marehemu Geez...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani