Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukatili watishia maisha Mkuranga

VITENDO vya ukatili wa kijinsia kwa watoto na wanawake vimekithiri wilayani Mkuranga mkoani Pwani hatua inayopelekea asasi ya kiraia kutoa elimu ili kupunguza tatizo hilo. Akizungumza na Tanzania Daima juzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Chawaphata watishia kugoma

CHAMA cha Wamiliki wa Famasi nchini (Chawaphata), kimetishia kufanya mgomo wa kufunga maduka yao kama njia mojawapo ya kushinikiza kufanyiwa kazi kwa matatizo yanayowakabili kwa muda mrefu. Mwenyekiti wa Chawaphata,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watishia kufunga lango la Ngorongoro

MADIWANI wa Halmashauri ya Ngorongoro mkoani Arusha, wameitaka serikali kutekeleza ahadi yake ya kupeleka chakula kwa wakazi wa Tarafa ya Ngorongoro ambao wanakabiliwa na njaa hivi sasa ili kuzuia mpango...

 

11 years ago

Mwananchi

Mfumuko wa bei watishia walaji

Kupanda kwa bei ya bidhaa nchini Japan kumesababisha wasiwasi mkubwa kwa walaji huku Serikali ya nchi hiyo ikijaribu kuimarisha soko la walaji wa ndani.

 

9 years ago

Mwananchi

Bavicha watishia kuchukua hatua

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limelitaka Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwafikisha haraka mahakamani watu wote waliohusika na mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo vinginevyo watachukua hatua mkononi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ugonjwa wa mahindi, mihogo watishia

MAGONJWA ya mazao ya mahindi na mihogo yaliyoikumba Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara yanatishia uwepo wa njaa. Tishio hilo linatokana na baadhi ya wakulima kuanza kung’oa mazao hayo na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanamgambo watishia kushambulia Baghdad

Wanamgambo wa kiislam ambao wamedhibiti eneo kubwa la Iraq wanasema sasa wataelekeza mashambulio yao katika mji mkuu Baghdad.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara Tunduma watishia kugoma

WAFANYABIASHARA wa Samaki na Dagaa Mamlaka ya mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya wamekusudia kugoma kutoa huduma kwa lengo la kuishinikiza serikali kupunguza viwango vya ushuru wa bidhaa hiyo....

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanariadha watishia kususia mashindano

Ya kimataifa baada ya serikali ya Kenya kutangaza kuwa mapato yao yataanza kutozwa ushuru

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani