Wanariadha watishia kususia mashindano
Ya kimataifa baada ya serikali ya Kenya kutangaza kuwa mapato yao yataanza kutozwa ushuru
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Watishia kususia chaguzi zote zijazo
BAADHI ya wakazi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, mkoani Pwani, wamesema hawatashiriki kupiga kura katika chaguzi mbalimbali zinazotarajiwa kuanza hivi karibuni endapo jirani zao wa Mtaa wa Vingunguti...
11 years ago
MichuziWANARIADHA WA MBIO NDEFU WAWASILI ADDIS ABABA KWA AJILI YA MAZOEZI YA KUJIAANDAA NA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Chadema yatishia kususia Bunge
Zikiwa zimebaki siku nne kabla ya kuanza kwa Bunge la Katiba mjini Dodoma, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitasusia bunge hilo, iwapo mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jaji Warioba hayatazingatiwa.
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Vyama 17 kususia uchaguzi Burundi
Kundi moja la vyama 17 nchini Burundi limekubaliana kususia uchaguzi mkuu wa mwezi ujao likisema kuwa hautakuwa huru na haki.
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Malaysia:Familia zatishia kususia chakula
Jamaa za abiria wa China waliokuwa kwenye ndege ya Malaysia,wametisha kususia chakula ikiwa Malaysia haitasema ukweli kuhusu ndege iliyotoweka
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Ukawa kususia Kura ya Maoni ni matokeo tu
Kufikia leo, itakuwa zimesalia siku 35 kabla Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuruhusu asasi za kiraia kutoa elimu ya uraia juu ya Katiba Inayopendekezwa, hii ikiwa ni kwa mujibu wa kifungu cha 5 cha Sheria ya Kura ya Maoni. Ndani ya siku hizi 35 na kwa utaratibu wa kawaida inapasa tuwe tayari na wapigakura wetu ambao taarifa zao zimeboreshwa na wale walitimiza miaka 18 wameandikishwa upya na kila mtu ana kitambulisho chake.
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Msekwa: Msishangae, Ni kawaida kususia Bunge
>“Sijaweka orodha ya vitabu vya mwaka huu, sijavi-document (sijaviorodhesha) pale.†Hii ni kauli ya mwanasiasa mkongwe, Pius Msekwa ambaye ameshika nyadhifa mbalimbali katika Bunge, chama tawala ambaye katika mahojiano maalum na waandishi wa Mwananchi alikuwa na mengi ya kusema.
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Serikali ya Burundi kususia mazungumzo Arusha
Serikali ya Burundi imesema haitashiriki mazungumzo ya amani ambayo yamepangiwa kuanza hapo kesho mjini Arusha.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania