Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ukawa hawajalipwa posho wasiyostahili’

Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, Yahaya Khamis Hamad amesema wajumbe ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hawajachukua posho wasiyostahili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Posho yalainisha msimamo Ukawa

Adam MalimaUTAMU wa posho katika Bunge Maalumu la Katiba, umeathiri siasa za baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

10 years ago

Mwananchi

Posho zakwamisha Kamati za Bunge zakwama posho

Ofisi ya Bunge imesema baadhi ya kamati zake zitalazimika kumalizia shughuli zake katika ofisi zao za Dar es Salaam, kwa kuwa haiwezi kuziwezesha zote kusafiri kwa ajili ya ukaguzi maeneo mbalimbali ya nchi.

 

9 years ago

Raia Mwema

Posho ya siku ni posho ya kujikimu siyo ya kujikirimia

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

9 years ago

Dewji Blog

Wananchi wazuia usimikaji wa nguzo za minara ya umeme wa 400KV, Msigiri Iramba, hawajalipwa fidia

KIJKO

Kijiko cha kampuni inayojenga nguzo za umeme za 400KV kutoka Shinyanga – Singida (KEC) kikifukia mashimbo ambayo tayari yalikuwayamechimbwa kwa ajili ya kusimika minara katika kijiji cha Misigiri Kata ya Ulemo Wilayani Iramba, kutokana na wananchi 17 kutolipwa fidia za mashamba yao na shirika la ugavi wa umeme TANESCO.

MHINDI

Mfanyakazi wa Kampuni ya KEC wakishangaa eneo la Site iliyozuiwa kusimikwa minara na wananchi wa kijiji cha Misigiri.

MWKT

Mwenyekiti wa kijiji cha Misigiri Nelson Kiula...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

11 years ago

Mwananchi

Msitu wa posho

Hatimaye bonge la bangi limepumzishwa! Au tuseme tumepewa nafasi ya kupumzika sisi bila kulazimika kusikia matusi, ubabe, vitisho badala ya hoja na maelewano siku hadi siku.

 

11 years ago

Habarileo

Posho yagawa wabunge

WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likiunda kamati maalumu ya kufuatilia suala la nyongeza ya posho za wajumbe, umetokea mgawanyiko miongoni mwa wabunge hao. Kamati iliyoundwa itafuatilia na kisha kuishauri Serikali iwaongeze posho wajumbe hao huku baadhi yao, wakipinga na kutaka wananchi wasimame kidete kuipinga.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wajutia posho

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanajutia posho wanayoendelea kupata wakati bunge likivurugika mara kwa mara na kusababisha kuahirishwa, hivyo kuzua wasiwasi wa kutotekelezwa malengo yaliyowapeleka. Makundi yenye uwakilishi ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, katika kujiengua na shutuma yamenyooshea wanasiasa vidole na kusema wanavuruga mwenendo wa Bunge hilo kwa maslahi ya vyama vyao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Posho juu bungeni

WAKATI Ikulu ikitangaza kuwa posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba haijaongezeka, Tanzania Daima imebaini kuwa imeongezeka kwa sh 140,000 kwa siku za Jumamosi na Jumapili tofauti na ilivyokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani