Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa Mtwara hakuna muafaka

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vya NCCR-Mageuzi, Chadema, CUF na NLD, vimeshindwa kufikia makubaliano ya kusimamisha mgombea mmoja wa ubunge Jimbo la Mtwara Mjini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Bila Ukawa hakuna Katiba’

Wakati kukiwa na juhudi za watendaji wa Bunge maalumu la Katiba kuwashawishi viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wawaruhusu wabunge wao kurejea bungeni wakati vikao vya Bunge hilo vitakavyoanza Agosti 5 mwaka huu, bado utata umegubika kuhusu uwezekano wa kupatikana katiba hiyo kwa wakati

 

10 years ago

Habarileo

NLD Mtwara 'waibipu' Ukawa

UAMUZI wa umoja wa vyama vinne vya upinzani nchini (UKAWA) wa kuachiana majimbo, umezua balaa mkoani Mtwara. Hali hiyo imetokana na uongozi wa Chama cha National League for Democracy (NLD), kudai uongozi wa Ukawa kuanzia wilayani hadi taifa umejawa na viongozi wabinafsi na wenye mizengwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Katibu: Sijasema bila Ukawa hakuna Katiba

>Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, Yahya Khamis Hamad amefafanua kauli yake aliyoitoa wiki iliyopita alipozungumza na Mwananchi akisema: “Sijasema bila Ukawa hakuna Katiba.”

 

11 years ago

GPL

‘CCM, UKAWA HAKUNA MBABE’

Viongozi wa Chama cha ukawa wakijadili jambo. Na mwandishi wetu.
SAKATA la kuendelea au kutoendelea kwa Bunge Maalum la Katiba linalofanya vikao vyake mjini Dodoma, limeelezwa kuwa halitakuwa na mshindi endapo hakutakuwa na maridhiano baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Ijumaa limeambiwa. Wakihojiwa kwa nyakati tofauti kufuatia kauli ya Katibu wa Uenezi wa CCM, Nape Nnauye kudai kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Katibu: Bila Ukawa hakuna Katiba Mpya

>Wakati umesalia mwezi mmoja na siku 10 kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuanza tena vikao vyake mjini Dodoma kuendeleza mchakato wa Katiba Mpya itakayowaongoza Watanzania kwa zaidi ya miaka 50 ijayo, Mtendaji Mkuu wa Bunge hilo amesema kuwa bila kundi la Ukawa kurejea na kushiriki hatua zote haitawezekana kupata Katiba Mpya.

 

11 years ago

Michuzi

MRADI WA HAKUNA WASICHOWEZA WATOA ELIMU NA MISAADA YA VIFAA VYA KUJISITIRI WAKATI WA HEDHI KWA WASICHANA 6000 MKOANI MTWARA

Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara Bw. Salum Masalanga (katikati) akikabidhi msaada wa pedi kwa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Maendeleo, Neema Mohamed chini ya programu ya Hakuna Wasichoweza iliyofadhiliwa na Vodacom na T-MARC. Wakishuhudia tukio hilo, ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii Vodacom, Yesaya Mwakifulefule (kushoto)na Mratibu wa Mradi kutoka T-MARC Tanzania, Bi. Dorice Chalambo (kulia), mradi huo umeanza kufanya kazi mkoa wa Mtwara na Lindi na kusambaa nchi nzima....

 

10 years ago

Mtanzania

Duni amaliza utata wa mgombea ubunge Ukawa Mtwara

duniNa Elias Msuya, Mtwara

MGOMBEA mwenza wa urais wa Chadema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Haji Duni, amemaliza utata wa mgombea ubunge wa umoja huo jimbo la Mtwara baada ya kumtangaza Maftah Hanachuma Mchumo kuwa ndiye atakayepeperusha bendera za vyama vinavyounda umoja huo.

Utata wa mgombea wa Ukawa katika jimbo hilo ulitokana na   Chadema kumsimamisha Joel Nanauka, NCCR Mageuzi, Uled Hassan Abdallah na CUF, Maftah Machumo.
Kabla ya Duni kumtangza Maftah, Makamu mwenyekiti...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Tangazo: Hakuna Ukawa wala Sinia, wakitaka tutashinda, wasitake tutashinda

Naam hili ni tangazo lililotolewa kwa niaba niaba ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akiwatangazia wana CCM, wapenda amani na wananchi wote kujitokeza kwa wingi katika ufunguzi wa kampeni za CCM, siku ya Jumapili hapo […]

The post Tangazo: Hakuna Ukawa wala Sinia, wakitaka tutashinda, wasitake tutashinda appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali itafute muafaka wa Wamachinga

TUNAPENDA kulaani kwa nguvu zote vitendo vya matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwabughudhi wafanyabiashara ndogo ndogo mitaani, maarufu kama Wamachinga. Hata hivyo, hatuungi mkono hatua ya wafanyabiashara hao kukiuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani