Ukawa: NEC inatuvurugia mipango majimboni
>Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ameishukia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushindwa kutangaza mgawanyo wa majimbo, akisema kuchelewa huko kunavuruga mipango yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Aug
Mtifuano Ukawa wakolea majimboni
SIKU chache baada ya uongozi wa NLD mkoani Mtwara kudai hautambui mpango wa kuachiana majimbo unaohubiriwa na viongozi wakuu wa umoja wa vyama vinne vya upinzani, hali si shwari katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, baada ya Chadema na CUF, kila kimoja kusimamisha mgombea wake jimboni humo.
10 years ago
Mwananchi13 May
KUELEKEA MAJIMBONI: Patachimbika CCM na Ukawa majimbo ya Mvomero na Kilombero
10 years ago
Mwananchi25 Mar
KUELEKEA MAJIMBONI 2015: Ukawa haina kitu majimbo ya Handeni na Korogwe
10 years ago
Mwananchi17 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : Ukawa ina kazi ya ziada Iringa Mjini, Kalenga na Isimani
10 years ago
Mwananchi06 Jul
KUELEKEA MAJIMBONI : Ukawa yategemea nguvu ya CUF, NCCR majimbo yote ya Urambo, Sikonge
10 years ago
Mwananchi28 Jun
KUELEKEA MAJIMBONI : Mkoa wa Tabora hali si nzuri kwa Ukawa majimbo ya Uyui, Tabora na Igalula
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Ukawa yamtahadharisha JK, NEC
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umemtahadharisha Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Jaji Damian Lubuva, kuepusha shari kwa kuboresha daftari la wapiga kura kabla ya...
10 years ago
Mtanzania12 Feb
Ukawa, NEC hapatoshi leo
Na Arodia Peter, Dar es Salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) pamoja na vyama vya siasa, leo wanatarajia kukutana katika kikao cha pamoja ambacho kinaweza kuibua hoja kali kutoka miongoni mwa wadau.
Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa Bunge uliotolewa Februari 4, mwaka huu baada ya Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, kutaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili kuweza kujadili hatua ya NEC kuanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia...
10 years ago
Mwananchi11 Dec
NEC wataka JWTZ, Ukawa wapinga