Ukawa wadai kunasa waraka wa Ikulu
SHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umedai kunasa waraka wa Ofisi ya Rais Ikulu unaoonyesha Serikali imetenga Sh bilioni 2.5 kwa ajili ya kampeni ya kuwezesha Katiba inayopendekezwa ipitishwe kwa kupigiwa kura ya ndiyo katika kura ya maoni.
Katibu Mkuu wa Ukawa ambaye pia ni Katibu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, alidai Dar es Salaam jana kuwa kampeni hiyo itafanywa kupitia vyombo vya habari kuwahamasisha wananchi waweze kupiga kura ya ndiyo na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi24 Aug
Wagombea Chadema wadai kunasa kadi feki za mpigakura
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Ikulu yatoa waraka kwa wagombea
Na Kulwa Karedia
IKULU imetoa waraka mpya kwa watumishi wa umma wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa, ikiwamo urais, ubunge na udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.
Kwa mujibu wa waraka huo, mtumishi wa umma anayetaka kuwania moja ya nafasi hizo za kisiasa, atalazimika kuacha kazi na kulipwa mafao yake, endapo jina lake litateuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kama mgombea.
Waraka huo wenye Kumbukumbu CAB 157/547/01/47 ukiwa na kichwa cha habari ‘Kuhusu utaratibu kwa...
10 years ago
Mwananchi05 Nov
JK apiga marufuku kampeni, Ukawa wanasa waraka mzito
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-QjlKvb4vTWI/VFnQmv_nHBI/AAAAAAAAF7M/MWNjx3sXXWo/s72-c/10636907_10152511503861156_36094019205697603_o.jpg)
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Ukawa wadai safari za JK zimekula Sh4 trilioni
9 years ago
StarTV25 Sep
Mdahalo wa wagombea Ukawa wadai hawana muda kwa sasa
Umoja wa Vyama vinavyounda Ukawa umesema kwa sasa haupo tayari kushiriki midahalo inayoandaliwa na Taasisi za Kijamii kwa wakati ni huu na kupinga kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, Kajubi Mukajanga kuwa amewapa mwaliko si kweli.
Ukawa wamesema, si kweli kwamba wamepata mwaliko kutoka MCT na kudai kuwa kauli ya kiongozi huyo wa chombo kinachoheshimika ni ya upotosha.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti mweza wa Umoja wa Ukawa,...
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Viongozi wa UKAWA Lyamgungwe wadai kuvutiwa na utendaji wa Mbunge Mgimwa Kalenga wajiunga CCM
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa kulia akipokea kadi ya Chadema kutoka kwa mmoja kati ya viongozi wa Chadema kata ya Lyamgungwe aliyehamia CCM.
Na MatukiodaimaBlog
VIONGOZI watatu wa vyama vinavyounda katiba ya wananchi (UKAWA) kata ya Lyamgungwe jimbo la kalenga wamempongeza mbunge wa jimbo la hilo Godfrey Mgimwa kwa kutekeleza ahadi mbali mbali zilizoachwa na marehemu mbunge aliyepita Dr Wiliam Mgimwa kwa muda mfupi na kuwa katika kuonyesha umoja wao...
10 years ago
GPLVIONGOZI WA UKAWA LYAMGUNGWE WADAI KUVUTIWA NA UTENDAJI WA MBUNGE MGIMWA KALENGA WAJIUNGA CCM
10 years ago
Mtanzania14 Aug
Ikulu yawagomea Ukawa
![Baadhi ya viongozi wa Ukawa wakijadiliana jambo](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/ukawa.jpg)
Baadhi ya viongozi wa Ukawa wakijadiliana jambo
SHABANI MATUTU, DAR NA FREDY AZZAH, DODOMA
SIKU moja baada ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kumtaka Rais Jakaya Kikwete kusitisha shughuli za Bunge Maalumu la Katiba, hatimaye Ikulu imeibuka na kusema haina mpango wa kulivunja.
Uamuzi huo wa Ikulu umetolewa jijini Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alipokuwa akizungumza na MTANZANIA.
Alisema Bunge Maalumu la Katiba lilianzishwa na linaendeshwa kwa...