Ukawa wadai safari za JK zimekula Sh4 trilioni
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umedai Rais Jakaya Kikwete amefanya safari 409 nje ya nchi katika kipindi cha utawala wake, akitumia zaidi ya Sh4 trilioni, fedha ambazo zingeweza kutumika kwa miradi ya maendeleo
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania05 Nov
Ukawa wadai kunasa waraka wa Ikulu
SHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umedai kunasa waraka wa Ofisi ya Rais Ikulu unaoonyesha Serikali imetenga Sh bilioni 2.5 kwa ajili ya kampeni ya kuwezesha Katiba inayopendekezwa ipitishwe kwa kupigiwa kura ya ndiyo katika kura ya maoni.
Katibu Mkuu wa Ukawa ambaye pia ni Katibu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, alidai Dar es Salaam jana kuwa kampeni hiyo itafanywa kupitia vyombo vya habari kuwahamasisha wananchi waweze kupiga kura ya ndiyo na...
9 years ago
StarTV25 Sep
Mdahalo wa wagombea Ukawa wadai hawana muda kwa sasa
Umoja wa Vyama vinavyounda Ukawa umesema kwa sasa haupo tayari kushiriki midahalo inayoandaliwa na Taasisi za Kijamii kwa wakati ni huu na kupinga kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, Kajubi Mukajanga kuwa amewapa mwaliko si kweli.
Ukawa wamesema, si kweli kwamba wamepata mwaliko kutoka MCT na kudai kuwa kauli ya kiongozi huyo wa chombo kinachoheshimika ni ya upotosha.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti mweza wa Umoja wa Ukawa,...
10 years ago
Vijimambo30 Apr
Bajeti ya mwaka 2015/16 ni ya kula. Ni Shilingi trilioni 22.5, Za maendeleo trilioni 5 tu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mkuya-30April2015(1).jpg)
Serikali imetangaza sura ya bajeti ya mwaka 2015/16, ikiwa imejielekeza zaidi katika matumizi ya kawaida ya safari, posho za viongozi na matumizi mengine kuliko miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya Watanzani moja kwa moja.
Bajeti ya mwaka ujao inatarajiwa kuwa Sh. Trilioni 22.480, kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.
Makadirio hayo ni ongezeko la asilimia 13.2 ya bajeti ya mwaka 2014/15 ambayo ilikuwa ni Sh. Trilioni 19.853.
Waziri wa Fedha, Saada Salum...
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Viongozi wa UKAWA Lyamgungwe wadai kuvutiwa na utendaji wa Mbunge Mgimwa Kalenga wajiunga CCM
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa kulia akipokea kadi ya Chadema kutoka kwa mmoja kati ya viongozi wa Chadema kata ya Lyamgungwe aliyehamia CCM.
Na MatukiodaimaBlog
VIONGOZI watatu wa vyama vinavyounda katiba ya wananchi (UKAWA) kata ya Lyamgungwe jimbo la kalenga wamempongeza mbunge wa jimbo la hilo Godfrey Mgimwa kwa kutekeleza ahadi mbali mbali zilizoachwa na marehemu mbunge aliyepita Dr Wiliam Mgimwa kwa muda mfupi na kuwa katika kuonyesha umoja wao...
10 years ago
GPLVIONGOZI WA UKAWA LYAMGUNGWE WADAI KUVUTIWA NA UTENDAJI WA MBUNGE MGIMWA KALENGA WAJIUNGA CCM
10 years ago
Mwananchi02 Jun
Dk Slaa: Ukawa ni safari ya uhakika
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Safari ya Ukawa ilivyoanzia Dodoma
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Urais 2015: Ukawa waanza safari
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Safari ya Ukawa kwenda Ikulu 2015